Pre GE2025 Ubalozi wa Marekani: Tumeshtushwa na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi kuwadhibiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jingalao katika ubora wako. İle ni attempted assassination na sio homicide. Na marekani walishughulikia kikamilifu mpaka mkurugenzi wa secret service alilazimika kujiuzulu kwa sababu ya uzembe
Hata wazazi wa yule kijana wamelamba mvua.
 
Serikali ya Tanzania nayo itoe tamko juu ya shambulio la mgombea wa chama Cha Republic- ndugu D.Trump,unyama -unyama
Kwani wanakatazwa? Ni wewe tu lkn itakuwa ni sawa na kusikia Marekani imepata majanga eti unapereka msaada wa kusaidia waathirika.
 
Walishashindwa labda umebarehe karibuni ndio maana hujui mambo mengi. Walijaribu miaka ya 70s na 80s wakati huo na mpaka sasa TZ iko na Warusi na Wachina.
 
Wapigwa ban washiriki wote katika uovu huu kama ilivyokuwa kwa yule kijana mkorofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…