IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
...nafikiri haujui nini hasa kazi iliyowaleta..ungejua ungenyamaza.
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Kumbe Saddam na Gaddafi bado wanashinda uchaguzi kwa 99.9%?.Hawa US nao, kwa hiyo hawataki watu kushinda kwa 99.9% ? Huu ni ubaguzi, mbona Saddam Hussein, Muammar Gaddafi, Paul Kagame na viongozi wengi tu wamekuwa wakishinda kwa zaidi ya 90% lakini US missions huko hazitoi matamko. Kweli wameniharibia siku yangu.
wamekaa miaka mitatu hawana balozi , naona kashakuja anajindaa kuwasha moto.
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
kazi ya kutoa misaada eehhh ... Kwa nchi yenye rasilimali nyingi ...
Mkome kupeleka bakuli kwao.Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Chukueni hatua na nyie US bwana!
Bunge la Senate la Marekani, baada ya ile hoja iliyotolewa na senator mmoja kuwa Tanzania kuna ukiukaji mkubwa wa haki za raia na demokrasia, baraza la senate liliiagiza serikali kumteua balozi haraka ili kuweza kufuatilia kwa ukaribu. Mara moja serikali ikatekeleza, na balozi naona naye mara moja ameanza kazi.wamekaa miaka mitatu hawana balozi , naona kashakuja anajindaa kuwasha moto.
Hili ni mojawapo, nenda kasome charter yao.Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Hawa US nao, kwa hiyo hawataki watu kushinda kwa 99.9% ? Huu ni ubaguzi, mbona Saddam Hussein, Muammar Gaddafi, Paul Kagame na viongozi wengi tu wamekuwa wakishinda kwa zaidi ya 90% lakini US missions huko hazitoi matamko. Kweli wameniharibia siku yangu.
hilo ndio lifuataloChukueni hatua na nyie US bwana!