Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

Mwenye access na Ubalozi wa US awaulize jee imani hiyo bado wanayo? Na kama imani hiyo imepotea wanatusaidiaje?
 
Kwa dalili kama hizi eti kuna uchaguzi huru na haki tufute kabisa mawazo hayo!!

Kwa Tume hii ya Uchaguzi ambayo wakurugenzi ambao ni makada kindakindaki wa CCM ndiyo wasimamizi wakuu wa uchaguaka tusahau kabisa kumtangaza Mbunge wa upinzani kashinda hiyo itakuwa ni ndoto tena ya mchana na ya mtu mwenye matatizo ya akili.

Watanzania tuna option mbili
1. Kuikataa tume hii kwa nguvu zote
OR
2. Tukubali kurudisha mfumo wa chama kimoja.

Uchaguzi ni wetu!!
 
Wawekeane agreement na signature zisaoniwe pande zote
 
Back
Top Bottom