Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Halafu kuna mtu anategemea watalii waje!
Yaani watalii wanatoka hukohuko Marekani....!!! Utawala huu wa Jiwe unachekesha kweri-kweri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kuna mtu anategemea watalii waje!
Kama wewe na familia yako hamjaambukizwa au kupata vifo kwenye ukoo wenu, vivyo hivyo WaTz wengine nao wako hivyo.
Kuendelea kushabikia kutaka Serikali itoe takwimu za maambukizi ni kama unaomba dua WaTz wafe ili lengo lako litimie, siyo. Nami nakuombea upate wewe kwanza maambukizo.