Ubalozi wa Marekani wakumbushia kuwa wao ndio walifufua TAZARA

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Ubalozi wa Marekani umeandika katika ukurasa wake wa X

Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya injini za TAZARA zina nembo ya ushirikiano ya Marekani? Reli ya Tanzania–Zambia ilifunguliwa mwaka 1976 kwa lengo la kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi katika kanda. Miaka miwili tu baadaye—mwishoni mwa 1978—ubora hafifu na usimamizi duni katika utekelezaji wa mradi vilisababisha reli hiyo kuzorota vibaya, na kubakiza injini mbili tu zinazoweza kufanya kazi.

Kutokana na ombi la Zambia na Tanzania kwa washirika wa kimataifa wanaowajibika ili kufufua reli hiyo iliyoharibika mapema, Marekani ilitoa zaidi ya dola milioni 45 za misaada ya ruzuku katikati ya miaka ya 1980 (sawa na zaidi ya dola milioni 130 kwa thamani ya leo) kwa ajili ya kununua injini na mabehewa yaliyokuwa na uwezo wa kuhimili safari kwenye reli hiyo.

Msaada wa Marekani ulienda mbali zaidi kwa kutoa mafunzo katika kila nyanja ya uendeshaji wa hiyo kuanzia uhandisi hadi ufundi wa matengenezo ya kawaida. Ruzuku hii kutoka kwa wananchi wa Marekani iliwawezesha Watanzania na Wazambia kufufua na kuendeleza reli hiyo, na kuiwezesha kuendelea kufanya kazi kwa miongo minne iliyopita na kuwa njia muhimu ya biashara ya kikanda.

Huo ndiyo ushirikiano wa kweli!

1763656997878.jpeg
 
View attachment 3504969
Kwanini wametukumbusha leo wema wao?
 
Reli ya Tanzania–Zambia ilifunguliwa mwaka 1976 kwa lengo la kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi katika kanda. Miaka miwili tu baadaye—mwishoni mwa 1978—ubora hafifu na usimamizi duni katika utekelezaji wa mradi vilisababisha reli hiyo kuzorota vibaya, na kubakiza injini mbili tu zinazoweza kufanya kazi.😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom