Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
kwahio mungu ameandikia kuna watu wakufa kwa kubakwa na kunyongwa ?, wengine tangia wanazaliwa wanaandikiwa watakufa kwa drug abuse (yaani Mungu kawapangia wa-abuse drugs ?Kwanza elewa kifo akikwepeki as long as umeandikiwa utafaliki kwa kitu flani. pili ao waliopata chanjo tupe maendeleo yao tuanzie U.S.A
Hivi unajua maana ya chanjo na mpaka hapo ulipo ulishatumia chanjo ngapi ?, Na kujua side effects na kui-perfect chanjo it takes time na kujua kwa ufasaha ni kwa testing na muda wa kuangalia matokeo na kuboresha...., kumbuka hii ni emergency kwahio kwahio hata kama chanjo inafanya kazi kwa percent kubwa hio ni progress to the right direction (Pia kumbuka kila chanjo / dawa inaweza ku-react tofauti kulingana na mtu na mtu)..., Kwahio itakuwa ni upuuzi wa kutupa iwapo results zisipokuwa 100% kuacha kuendelea na utafita na kuboresha eti sababu first time out haikuwa 100%. Watu huwa wanakwenda hospitali na kufanyiwa operation ila bado wanakufa (lakini hatujaacha kwenda hospitali) au kuna kina mama wanakufa wakiwa wanajifungua..., ila sikasjikia watu wanashauri tupige marufuku kina mama kuzaa (sababu kuna mmoja alishawahi kufa wakati anajifungua)