Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania wameokoa Maisha yangu

Naziona dalili zote ulikunywa maji ya ubalozi wa Palestina na nyuma kwako kunawasha na kutaka kuzibuliwa.

Mambo ya Roman Catholic yametokea wapi dada mkubwa??
 
Bado tuna hali ngumu kama taifa.
Nchi yenye milima na mabonde yenye maji tele lakini tunanyweshwa maji ma wageni


Eeee Mwenyezi Mungu tusaidie.

Ndio maana chawa wamejaa, wakipewa hata 10k wanakusofia kama Mungu.
 
Mkuu jana nilikuona uwanjani Don Boscow Upanga ukiangalia basketball 🏀.
 
Maji tu,nikajua labda ulipigwa bomu na israel wakakutibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…