Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania wameokoa Maisha yangu

Kwa uarabuni ila si Tanzania,kama huwezi hata kununua maji ya kunywa we maisha ya mjini huyawezi rudi tu shamba
Shamba narudi kwa nani wakati nimezaliwa mjini?
Au kisa umetoka shamba unaona wote ni kama wewe
 
Sijapenda
Hayo maji yanatoka Gaza umeambiwa?
Mara Mia ungemshukuru sir100😃
 
Unaaaafk kwann huitaje israel mbona baloz zngne azjaweka hyo huduma syo huduma ya lazm baloz ya palestina wao wameona watoe bila kulazmishwa na nyumbu yeyote lakn wee unataka shda zako ziwe na wengne kinywa maji futa mdomo acha kelele kama chura
 
Bado tuna hali ngumu kama taifa.
Nchi yenye milima na mabonde yenye maji tele lakini tunanyweshwa maji ma wageni


Eeee Mwenyezi Mungu tusaidie.

Ndio maana chawa wamejaa, wakipewa hata 10k wanakusofia kama Mungu.
Umaskini wa AKILI unaoulindwa kwa wivu mkubwa na ccm unadhalilisha sana utu wa watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…