Makampuni makubwa hayajatangaza kupitia picha za kwanza za Diamond Platnumz, Latiffah hivi hivi. Kwa mujibu wa staa huyo ni ubunifu wake na proposal nzuri ndizo zimeyavutia.
Diamond ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa yeye binafsi amepigana kuangalia mwanae atapata vipi deals zitakazomwingizia pesa.
Wakati mwingine kama mzazi wasanii na celebrity lazima tuangalie tunajiongunisha vipi na makampuni. Tusiwe tunayalaumu tu makampuni haya support wasanii, lazima na wewe uwe creative, amesema. Uwe mzuri wa kuandika idea na kupeleka kwa watu tofauti tofauti.
Aliongeza, sisi tumepeleka na tukaifanyia presentation, wakasikiliza wakaona ina faida kwetu na kwao pia. Lets say mtoto wako akiwa ni balozi wa bima ya kampuni yako itaongeza watoto kwa sababu kila mtu atajua kuna umuhimu gani wa mtoto kuwa na bima ya afya.
MAONI YANGU;
Huu uwe ni mfano kwa wasanii wengine wa Tanzania, ambao wamekuwa wakilaumu kutokuwepo msaada wa makampuni makubwa kuwekeza kwao.. Hii imekuwa ikifanyika kwa wenzetu tu, lakini Diamond ametoa fundisho kwa wasanii wetu wasiishie kujisifu tu kwamba wanawatoto je kama wazazi na nafasi walizonazo wamewafaidisha vipi watoto wao?