Ubalozi wa Princess Tiffah uliomnufaisha mamilioni

Ubalozi wa Princess Tiffah uliomnufaisha mamilioni

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Makampuni makubwa hayajatangaza kupitia picha za kwanza za Diamond Platnumz, Latiffah hivi hivi. Kwa mujibu wa staa huyo ni ubunifu wake na proposal nzuri ndizo zimeyavutia.

Diamond ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa yeye binafsi amepigana kuangalia mwanae atapata vipi deals zitakazomwingizia pesa.

“Wakati mwingine kama mzazi wasanii na celebrity lazima tuangalie tunajiongunisha vipi na makampuni. Tusiwe tunayalaumu tu makampuni haya support wasanii, lazima na wewe uwe creative,” amesema. “Uwe mzuri wa kuandika idea na kupeleka kwa watu tofauti tofauti.”

Aliongeza, “sisi tumepeleka na tukaifanyia presentation, wakasikiliza wakaona ina faida kwetu na kwao pia. Let’s say mtoto wako akiwa ni balozi wa bima ya kampuni yako itaongeza watoto kwa sababu kila mtu atajua kuna umuhimu gani wa mtoto kuwa na bima ya afya.”

MAONI YANGU;
Huu uwe ni mfano kwa wasanii wengine wa Tanzania, ambao wamekuwa wakilaumu kutokuwepo msaada wa makampuni makubwa kuwekeza kwao.. Hii imekuwa ikifanyika kwa wenzetu tu, lakini Diamond ametoa fundisho kwa wasanii wetu wasiishie kujisifu tu kwamba wanawatoto je kama wazazi na nafasi walizonazo wamewafaidisha vipi watoto wao?
 
Hakika princess tiffah ni hazina kubwa kwa vizazi vya sasa
 
Hao NMB wangetafita mtoto wa kimasikini kufanya promo yao ingekuwa ya maana. Hawa ndo wahitaji
Imekosea kujipendekeza kwa walonacho
 
Wewe DIAMOND wewe, hivi ni kwanini kila habari tamu zinakuhusu wewe tu???????? na ndo mana tunafanya kila liwezekanalo ili wewe ushuke bila ya wewe kushuka hivi visanii vyetu havitafanikiwa kamwe.
 
Hao NMB wangetafita mtoto wa kimasikini kufanya promo yao ingekuwa ya maana. Hawa ndo wahitaji
Imekosea kujipendekeza kwa walonacho

Ingekuwa ni mtoto wa maskni, unafikiri wao wangefaidika vipi??? Ile sio charity work ni biashara, mpaka hapa imefunguliwa uzi, na blogs nyingi zimeandika, watu wa kutosha wanaomfuatilia diamond kwenye pages zake na magazeti kote habari ipo, UNAFIKIRI IMEWAONGEZEA WATEJA KIASI GANI? kuna watu walikuwa hawajashtuka kuhusu NMB JUNIOR ACCOUNT lakini najuwa kuna wengi sana wamehamasika baada ya!!
 
Hivi hizo pesa anafaidi Tiffa au Diamond? Nani mwenye akili kati ya HBaba aliyemnunulia mtt wake kiwanja mbez beach na Diamond aliyemfungulia mtt wake Junior account NMB bank?
 
Hivi hizo pesa anafaidi Tiffa au Diamond? Nani mwenye akili kati ya HBaba aliyemnunulia mtt wake kiwanja mbez beach na Diamond aliyemfungulia mtt wake Junior account NMB bank?

Tatizo hujaelewa kinachoendelea..

Huyo Tiffah ni balozi, wa NMB JUNIOR ACCOUNT unafikiri angeanza tu kufunguliwa account na kutangaza kama sio pesa alizovuna huko?

Afu suala la kumnunulia kiwanja halina mashiko, coz hufahamu miradi anayofanya diamond sahivi anajenga wapi? hujui pesa zote anazopiga CCM na shows zake mwaka huu tokea STATE HOUSE imekamilika kanunua gari moja tu, mwezi uliopita unajuwa anafanya nini? na obvious itakuw ni kwaajili ya mwanae na familia kiujumla.. Sio anunue kiwanja afu aanze kutangaza
 
KaSign mkataba wa miaka mingapi na NMB mkuu?
 
Hivi hizo pesa anafaidi Tiffa au Diamond? Nani mwenye akili kati ya HBaba aliyemnunulia mtt wake kiwanja mbez beach na Diamond aliyemfungulia mtt wake Junior account NMB bank?

siyo akaunti tu ..dogo amenunuliwa na nyumba pia stupid
 
Hivi hizo pesa anafaidi Tiffa au Diamond? Nani mwenye akili kati ya HBaba aliyemnunulia mtt wake kiwanja mbez beach na Diamond aliyemfungulia mtt wake Junior account NMB bank?

Sasa junior account si anahifadhiwa hela zake zitakazomsaidia baadae
kwa Ada za shule na mahitaji mengine, ni jambo la akili na ni zuri sana
 
watu wenye masifa kama diamond ndio wanafilisika vibaya,,wenzake akina P Square wamenunua mansion hapa Marekani Atlanta karibu na nyumbani kwangu ye anajisifia kujenga nyumba Mbagala
 
watu wenye masifa kama diamond ndio wanafilisika vibaya,,wenzake akina P Square wamenunua mansion hapa Marekani Atlanta karibu na nyumbani kwangu ye anajisifia kujenga nyumba Mbagala

Wewe nae, kununua nyumba marekani ndio kipimo chako cha kuona maendeleo ya mtu anaeishi Tanzania. Diamond anunue nyumba Marekani ya nini? How many times does he actually go to the US? Hao akina Psquare wamesha invest vya kutosha huko kwao sasa they are investing in the US. Kwanza how long have psquare been around compared to Diamond? Tiffah has a 50 milion sponsorship na Msasani Mall for one year and now ni balozi wa NMB am not sure how much this deal is. Wewe mtoto wako ana umri gani and how much money has she/he earned so far? Let Diamond earn his daughter as much money as he can, it her future and it is what is expected sometimes when you have celebrity parents.
 
watu wenye masifa kama diamond ndio wanafilisika vibaya,,wenzake akina P Square wamenunua mansion hapa Marekani Atlanta karibu na nyumbani kwangu ye anajisifia kujenga nyumba Mbagala

Atlanta sehemu gani?
angalia usi google tu..

BTW makaratasi unayo?
 
Wewe DIAMOND wewe, hivi ni kwanini kila habari tamu zinakuhusu wewe tu???????? na ndo mana tunafanya kila liwezekanalo ili wewe ushuke bila ya wewe kushuka hivi visanii vyetu havitafanikiwa kamwe.
Hongera Diamond umetoka kwenye umaskini to utajiri kwa nguvu zako
Hapo usemi Wa "Mtaji Wa Maskini nguvu zake umekuwa Proved
 
Back
Top Bottom