Ubalozi wa Princess Tiffah uliomnufaisha mamilioni

Ubalozi wa Princess Tiffah uliomnufaisha mamilioni

Am not a big fan of Diamond music but I have to admit, the guy is really smart and intelligent when it comes to business. He could be used as a learning curve by other artists who want to achieve big, inviting deals endorsement for her baby is one of the things the guy should be applauded for,just imagine,a toddler starting to earn more than tsh 50 million at only 40 months age. Only American artists like Jay Z and Will Smith do that for their young kids.Kudos Diamond, keep it up boy!
 
Mtoto mwnyw si wake basi kwavle tu kitanda hakizai haramu
 
watu wenye masifa kama diamond ndio wanafilisika vibaya,,wenzake akina P Square wamenunua mansion hapa Marekani Atlanta karibu na nyumbani kwangu ye anajisifia kujenga nyumba Mbagala

Hata D'Banj amenunua nyumba London karibu na nyumbani kwangu!
 
watu wenye masifa kama diamond ndio wanafilisika vibaya,,wenzake akina P Square wamenunua mansion hapa Marekani Atlanta karibu na nyumbani kwangu ye anajisifia kujenga nyumba Mbagala

Kwanini unairuhusu chuki kuuzidi uwezo wako wa kufukiri, sasa hapo mwenye sifa kati ya diamknd na p2 ni nani? Ni diamomd aliyejenga nyumba nchini mwake au p2 walioenda kununua nyumba nchi za wenyewe na kukimbia kwao?? Get some genuine reasons to hate bwana
 
Diamond ana mtazamo wa Kimaendeleo, wakati yeye anasonga mbelw, wavivu na wasio na vipaji wanapiga majungu tu. Mtaisoma sana namba na kuisoma tena mwaka huu!
 
Huyu tiffah atakua Kama Lulu, mpaka anafika umri Wa kuvunja ungo tutasikia mengi, mingy amuepushe na mabazazi watakaokuwepo enzi zijazo
 
Wewe una uhakika gani kama ni mtoto halali wa baba yako

Siri anayo mama na wengi sana hata ukifanya takwimu utakugundua hilo hata ww usikute unaitwa surname ambaye si baba yako halali
 
Ingekuwa ni mtoto wa maskni, unafikiri wao wangefaidika vipi??? Ile sio charity work ni biashara, mpaka hapa imefunguliwa uzi, na blogs nyingi zimeandika, watu wa kutosha wanaomfuatilia diamond kwenye pages zake na magazeti kote habari ipo, UNAFIKIRI IMEWAONGEZEA WATEJA KIASI GANI? kuna watu walikuwa hawajashtuka kuhusu NMB JUNIOR ACCOUNT lakini najuwa kuna wengi sana wamehamasika baada ya!![/QUOTE
SIO KWELI,
WANGEENDA WAKAMCHUKUA MTOTO MFANO ALIEFILIWA NA MAMA MZAZI WAKATI WA KUJIFUNGUA WAKA TANGAZA BASI REACTION INGEKUA KUBWA ZAIDI
 
Ingekuwa ni mtoto wa maskni, unafikiri wao wangefaidika vipi??? Ile sio charity work ni biashara, mpaka hapa imefunguliwa uzi, na blogs nyingi zimeandika, watu wa kutosha wanaomfuatilia diamond kwenye pages zake na magazeti kote habari ipo, UNAFIKIRI IMEWAONGEZEA WATEJA KIASI GANI? kuna watu walikuwa hawajashtuka kuhusu NMB JUNIOR ACCOUNT lakini najuwa kuna wengi sana wamehamasika baada ya!![/QUOTE
SIO KWELI,
WANGEENDA WAKAMCHUKUA MTOTO MFANO ALIEFILIWA NA MAMA MZAZI WAKATI WA KUJIFUNGUA WAKA TANGAZA BASI REACTION INGEKUA KUBWA ZAIDI[/QUOTE

Shule bado inahitajika sana kuchanganya biashara na kampen et mtt wa maskn .....
 
Back
Top Bottom