KERATO MOMBAA
Senior Member
- Feb 4, 2025
- 161
- 227
Mtoa post, umegundua nn kwa watanzania waliosoma bandiko lako?
AU HADI UBUBUJIKWE NA MACHOZI NDO UJUE KUWA WANA AKILI NYINGI KUKUZIDI?
1: wanahoji tarehe 25 feb 2025 imefika lini?
2: je ubalozi huo haupo makini kiasi hicho? au una vilaza ofisi yote hadi wasijue tarehe kuwa imekosewa?
3: hi barua ina kiingereza chepesi na kilaini kama cha lumumba.
4: tukiingia kwenye website ya ubalozi huo tutapata hiyo press.
5: kati ya serikali ya tanzania na ubaloz nani alitakiwa atoe tamko kuhusu nyendo zenye wasi wasi kwa rasili mali za nchi?
WE ENDELEA KUBUBUJIKWA NA MACHOZI TU.