KERATO MOMBAA
Senior Member
- Feb 4, 2025
- 161
- 227
Ni kweli kabisa Mr chawa 😂Mimi na kiingereza ni maji na mafuta
Una matatizo kichwani Mwako.Jambo hata likiwa lina maana ila likiletwa na asyejiielewa siwezi kuliamin
Hii kitu Lucas Mwashambwa ni FAKE NEWS yenyewe. Haijaandaliwa na ubalozi wa Saudi Arabia...!!Ndugu zangu Watanzania,
Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania umetoa tamko au maelezo ya kina au ufafanuzi wa kukanusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu mitandaoni.
Ambao wana lengo la kuchafua mahusiano mazuri na ya muda mrefu na yaliyoleta na kuzaa matokeo Chanya kati ya mataifa haya mawili.
Taarifa yenyewe ni hii hapa chini. imeandikwa kwa kiingereza . Kwa hiyo wewe kama hujui kiingereza ni bora upite kimya kimya kuliko kujifanya unaleta ujuaji wako wakati hujui kilichoandikwa.
Lakini pia kama kiingereza chako ni cha The The zisi iz au cha kukariri kariri ni bora pia na wewe ukatulia vizuri kabla ya kuanza kutoa maoni yako halafu ukaonekana kituko tu hapa.
Matusi hayahitajiki katika Taarifa hii maana hakuna taarifa ilipotoa matusi. Kwa hiyo mtu ukianza matusi hapa itakuwa ni dalili ya kutoelewa kilichoandikwa hapa.View attachment 3235781
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sjakutaja sehemu yoyote mkuu kwan wewe ndiwee?Una matatizo kichwani Mwako.
lla muwe na iman na hii nchi syo kwakujal mambo yachama jambo kabisa linaonekana baya ila kwasababu ya uchama mnapingana na ukweli hv niaibu hamna au nitatizo la kiafyaaUna matatizo kichwani Mwako.
Umesikia taarifa ya serikali Bungeni kuhusiana na jambo hilo la uzushi wa watu mitandaoni?Hii kitu Lucas Mwashambwa ni FAKE NEWS yenyewe. Haijaandaliwa na ubalozi wa Saudi Arabia...!!
Ofisi ya ubalozi hawawezi kuwa na watu wasio makini na wajinga kiasi hiki hata kukosea au kutojua jana ilikuwa tarehe ngapi...!!
Ikawaje Press Release ya jana tarehe 13/2/2025 iwe na tarehe ya mbele wiki mbili zijazo yaani tarehe 25/2/2025...????
Hii ni kazi ya kitengo cha propaganda cha ofisi za CCM Lumumba...!
Na ndo kesema, ni rahisi sana kuyanasa mijitu miongo, tapeli na mafisadi ya CCM yakishirikiana na waarabu wa Dubai na Saudi Arabia kuuza mali asili zetu zikiwemo bandari zetu za Tanganyika ...
Narudia tena huu ni UONGO WA ASUBUHI...
Jidanganyeni ninyi kwa ninyi huko, wajinga wakubwa nyie. Msitufanye sisi ni wajinga kama nyie mlivyo...
Hii Press Release haijaandaliwa na ubalozi wa Saudi Arabia. Imeaandaliwa Lumumba na ma CCM majizi na matapeli...
Ulikuwa bado uko kijijini kwenu Vwawa wakati Magufuli anauanika Ufisadi wa Kikwete kuhusu mikataba ya kishenzi/ Kimangungo waliosaini kujenga bandari ya Bagamoyo!!Embu weka hapa huo mkataba uliofutwa
Ww chawa embu ifike wakati hata kama ni kwamba unafanya hayo yote kwaajili ya njaa basi uone aibu japo kidogo.Hayo ni makosa madogo madogo ya kiuchapaji ambayo ni kawaida kibinadamu.
Barua ya tarehe 25 February 2025, leo ni tarehe ngapi!!??Inasikitisha nini. Au inasikitisha kwa wewe kutoelewa kiingereza
Usitake kulazimisha majibu yako na mtizamo wako na kile unachokitamani kiwe.Ww chawa embu ifike wakati hata kama ni kwamba unafanya hayo yote kwaajili ya njaa basi uone aibu japo kidogo.
Hayo ni makosa madogo ya kibinaadamu. Umesikia video ya Balozi wa Saudi Arabia pamoja na taarifa ya serikali bungeni kuhusu jambo hilo?Barua ya tarehe 25 February 2025, leo ni tarehe ngapi!!??
Unajua maana ya hili!!?
CCM na serikali yenu mnayoingoza ni waongo na matapeli kuanzia ikulu hadi bungeni, mahakamani mpaka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa aliyeingizwa kwenye uongozi kwa wizi wa kura na wengine kitapeli tu bila kuchaguliwa...Umesikia taarifa ya serikali Bungeni kuhusiana na jambo hilo la uzushi wa watu mitandaoni?
Naona umeandika ukiwa umejimiminia Mipombe ukiwa na njaa tumboni mwako.CCM na serikali yenu mnayoingoza ni waongo na matapeli kuanzia ikulu hadi bungeni, mahakamani mpaka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa aliyeingizwa kwenye uongozi kwa wizi wa kura na wengine kitapeli tu bila kuchaguliwa...
Kwa hiyo, it doesn't matter kauli imetoka wapi bungeni au ikulu. Waongo na matapeli ni waongo na ni matapeli tu siku zote...
Press Release ile mnayodai imetolewa na wajomba zake Bi Samia Suluhu Hassan a.k.a Chura Kiziwi wa Kizimkazi nchini Zanzibar, inathibitisha kuwa hii ni serikali ya waongo inayotenda mambo yake kwa propaganda kwa kusema hii ni A kumbe ukweli ni kuwa hiyo ni F...!!
Niko mentally, interlectually and physically perfect 100%....Naona umeandika ukiwa umejimiminia Mipombe ukiwa na njaa tumboni mwako.
Mleta uzi ni kama na yeye ni mvaa kobazi au ananufaika au anashabikia nchi kuuzwaItafika tu wala usijali. Uwe na subira tu na uvumilivu
Nimeoma vyombo viwili vya habari vya kuaminika vya KSA vikiandika "acquired", unaelewa maana ya vyombo vyao vya habari kuandika hivyo!!?? Sio vyetu, ni vyao, tena vya kuaminika.Hayo ni makosa madogo ya kibinaadamu. Umesikia video ya Balozi wa Saudi Arabia pamoja na taarifa ya serikali bungeni kuhusu jambo hilo?
MBONA KAMA UNATULAZIMISHA KWA KIGEZO HATUJUI HIYO LUGHA YA KITUMWA?Niko mentally, interlectually and physically perfect 100%....
Mliyojimimia mapombe ya ujinga na ulanghai ni wewe chawa Lucas Mwashambwa na maboss wako unaowalamba makalio yao huko CCM...
Majina yenu mliyojipa "MACHAWA WA MAMA" ni uthibitisho kuwa, wanaoongoza nchi yetu hii kupitia serikali yao, ni nusu binadamu na nusu nyingine ni wadudu hatari walaruao toka kuzimu...!!
Ndugu, unampigia panzi kitaa ukitegemea atacheza tune ya muziki huo....Nimeoma vyombo viwili vya habari vya kuaminika vya KSA vikiandika "acquired", unaelewa maana ya vyombo vyao vya habari kuandika hivyo!!?? Sio vyetu, ni vyao, tena vya kuaminika.
Unaelewa kweli!!??..
Nakulazimisha kufanya nini tena na wewe..?MBONA KAMA UNATULAZIMISHA KWA KIGEZO HATUJUI HIYO LUGHA YA KITUMWA?