JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,249
- 5,747
Yoda alikuwa analalamikia sana hili neno (karlibuni).Karlibuni.... hapa the home of Great thinker
Hahahahaaaaa limemukunaYoda alikuwa analalamikia sana hili neno (karlibuni).
Noma kweli.Hahahahaaaaa limemukuna
Atheist au na lenyewe nitaambiwa ni thibitishe kama lipo mzee wa logic huyu...
Leo, Septemba 30, 2026, JamiiAfrica imepata ugeni wa Balozi Mteule wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Teresia Johansson.
Balozi Mteule aliambatana na maafisa wa Ubalozi, wakiongozwa na Bi. Sandra Diesel ambaye ni Mkuu wa Ushirikiano wa Kimaendeleo (Head of Development Cooperation) wa Ubalozi huo.
Ingrid amejionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na JamiiAfrica pamoja na kupata kuongea na watendaji na uongozi wa taasisi.
Pamoja na Tanzania, atahudumia pia Burundi, Komoro, Madagascar, Msumbiji, Somalia, na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Safi sana kiongozi. Hawa ndio aina ya wageni tunaowahitaji zama hizi za nchi yetu kupoteza uelekeo!Leo, Septemba 30, 2026, JamiiAfrica imepata ugeni wa Balozi Mteule wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Teresia Johansson.
Balozi Mteule aliambatana na maafisa wa Ubalozi, wakiongozwa na Bi. Sandra Diesel ambaye ni Mkuu wa Ushirikiano wa Kimaendeleo (Head of Development Cooperation) wa Ubalozi huo.
Ingrid amejionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na JamiiAfrica pamoja na kupata kuongea na watendaji na uongozi wa taasisi.
Pamoja na Tanzania, atahudumia pia Burundi, Komoro, Madagascar, Msumbiji, Somalia, na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Hapana..!Anayefutaga Nyuzi zangu ndio yupi hapo!?😑😑
Ningeamkia hapo asubuhi tuu... Make wamezidi😂😂Hapana..!
Of course, it’s an NGO!JF ni NGO?? I have been here for years now na sielewi hawa jamaa wana make adje pesa na hakuna ata matangazo
just asking for good
now nimeelewa umetishaOf course, it’s an NGO!
Hivi mabalozi wa nchi za Africa na za waarabu waliwahi kutokea mahakamani kwenye kesi ya Tundu Lusu?? Mandela wa Tz.Mungu Wabariki Wazungu