Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajua lakn balozi zetu huwa na watu wangapi? Kuna
1. Balozi mwenyewe
2. Mwambata wa maswala ya Fedha
3. Mwambata wa maswala ya Ulinzi
4. Na mwingine
Hao ndio notable people wenye kuweza kuwa na majibu ya maswali ya watu. Wengine wanaweza kuwa makarani ambao Mara nyingi sio raia wa Tanzania. Kwa kiwango hicho Cha Understaff inategemea nini nyakati za pressure ya kazi?