Ubalozi wa Vatican TZ upo wapi? Nahitaji kusaini kitabu cha maombolezo

Ubalozi wa Vatican TZ upo wapi? Nahitaji kusaini kitabu cha maombolezo

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Mwenye kujua Ubalozi wa Vatican ulipo ili nikasaini kitabu cha maombolezo hapo ubalozini.

Regards,
Mlei,
Kigango cha Mtakatifu Kizito, Majimatitu.
 
Nadhan viongozi wa kitaifa ndio wataenda

Wewe muone katekesta kwenye kigango chako utasaini usisahau sadaka 😎
 
Unapajua Ngome Zamani ?(JWTZ HQ)
Ama Kituo Cha Daladala Palm Beach
Nyuma Yake Kuna Burundi Embassy Inayofuatia
Italy Ukiwa Hapo Huenda Wana Kitabu Ama Wakakupa Muongozo
 
Hivi kuna dhehebu jingine lenye mabalozi nje za nchi? Yesu alileta utawala wa jinsi hiyo?
 
Mwenye kujua Ubalozi wa Vatican ulipo ili nikasaini kitabu cha maombolezo hapo ubalozini.

Regards,
Mlei,
Kigango cha Mtakatifu Kizito, Majimatitu.
nyuma ya kanisa la St Peter pale Oysterbay, kabla hujafika makazi ya Waziri Mkuu pana bendera ya rangi njano na nyeupe
 
Back
Top Bottom