and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Muulize LissuMwenye kujua Ubalozi wa Vatican ulipo ili nikasaini kitabu cha maombolezo hapo ubalozini.
Nyuma ya kanisa la Saint Peter pale ni Oysterbay. Utaona kuna ofisi zina bendera za njano na nyeupe nadhani wameandika kabisa ila sio rahisi kuona movement za watu.Mwenye kujua Ubalozi wa Vatican ulipo ili nikasaini kitabu cha maombolezo hapo ubalozini.
😄Nenda na Sheikh Mwaipopo
Kanisa la kule Oysterbay linaitwa St Peter. Lile la kule baharini ndiyo la St. Joseph.Nyuma ya kanisa la Saint Joseph pale ni Oysterbay. Utaona kuna ofisi zina bendera za njano na nyeupe nadhani wameandika kabisa ila sio rahisi kuona movement za watu.
Okay.Nyuma ya kanisa la Saint Peter pale ni Oysterbay. Utaona kuna ofisi zina bendera za njano na nyeupe nadhani wameandika kabisa ila sio rahisi kuona movement za watu.
nyuma ya kanisa la St Peter pale Oysterbay, kabla hujafika makazi ya Waziri Mkuu pana bendera ya rangi njano na nyeupeMwenye kujua Ubalozi wa Vatican ulipo ili nikasaini kitabu cha maombolezo hapo ubalozini.
Regards,
Mlei,
Kigango cha Mtakatifu Kizito, Majimatitu.