Ubalozi wetu Brussels na harakati za Chadema Ubelgiji

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kumekuwepo na harakati nyingi sana na za muda mrefu za watu wasioitakia mema nchi wanaotumika Kuichafua nchi kimataifa.
Tumeshuhudia watu hao wakiwa hosted ndani ya nchi ya ubelgiji.
Je ubalozi wetu umechukua hatua gani?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Halafu hawe wabelgium si ndo wakoloni washenzi waaliosababisha madhara nchi za maziwa makuu.hao na France siwapendi hata kuwasikia
 
Mnataka mtukanwe ili watu tuonekane wabaya tuu..... Nyie mmekuwa nani wa kumpangia mtu safari za kwenda na shughuli za kufanya?
 
Nani anachafua? CCM ndiyo wachafuzi wakubwa; kuna mtu mwingine aende kuchafua nje, yaani mwananchi au Chadema? Mmempiga risasi 38 lissu ni nyie akaenda kutibiwa Ubeligiji, nani kachafua hapo?

Nchi inatawaliwa kigaidi kigaidi, yaani chama tawala na serikali mnateka watu mnaua, ati halfu mnachafuliwa?

Nchi ni masikini, kwani hao wabeligiji hawajui? Go and google!!
 


Pumbavulao, wahi matibabu, inaweza kukusaidia kiasi.
 
Wasio takia mema kwa hiyo hata CCM akienda china,urusi na nchi nyengine naye hataki mema au.
Umeandika kijinga sana kama kahaba anatafuta bodaboda asubuhi kwenda kwake
 
Wazungu shikamoo, niliamini Tulia Ackson ni Spika la Dunia kumbe ushuzi mtupu kuna Bunge la Ulaya.
 
Halafu hawe wabelgium si ndo wakoloni washenzi waaliosababisha madhara nchi za maziwa makuu.hao na France siwapendi hata kuwasikia
Ndio wenzetu wanatuambia eti wanaijia demokrasia
 
Ubelgiji ndio playground ya makachero dunia nzima kutokana na uwepo wa makao makuu ya jumuiya ya ulaya. Fitna nyingi hupigiwa hapo kwa hiyo ili kuwa mbele ya matukio, taasisi za kiinteljensia duniani zina watu wao na mawakala wao hapo kutokana na maamuzi yanayofanyika hapo kuweza ku-influence global politics

Hata mafia na assassins wa kukodi, silaha za chapchap, sumu zipo, ni wewe tu
 
mwiteni balozi wenu arudi home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…