Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa kuzugia umeamua kututishia ? Kwamba CROATIA ndio umembetia ??Eidha unataka au hutaki,huo ndio ukweli!.
Mkuu google helper Tunza hii risiti mkuuMzee wa kuzugia umeamua kututishia ? Kwamba CROATIA ndio umembetia ??
Mkuu Mchimba Chumvi itunze hii risiti kama ukumbushoBingwa ni england[emoji1022][emoji1022][emoji1022][emoji1022]
Naitunza mkuu usijaliMkuu google helper Tunza hii risiti mkuu
Nani kajichanganyaMkuu hapa umejichanganya subiri kunyanyaswa
Mimi mshabiki wa England lakini hii issue ukiamka wao kelele tu na ushoga bora watolee round ya kwanza tu tupumzike.Bingwa ni england🏴🏴🏴🏴
Mtoa post
Bila modric mpambanaji hakuna timu pale. Hata makundi yanaweza kuwatoa jasho na wakivuka basi 16 bora ndio mwisho wao.Mkuu Expertise Umri wa modric hauna uhusiano na Croatia kuwa mabingwa