mkuu Simba ataibuka na ushindi wa kishindoView attachment 1776204
Kuna uwezekano mkubwa sana ikatokea. Kwa jinsi Morrison na Miquissone wanavyolazimishaga kuingia kwenye eneo la 18, na kwa uchezaji wa rafu wa beki ya Yanga, uwezekano ni mkubwa Simba wakapata penati, idadi yake sijui ila walau mojaPenalt itatoka kwenye hii game
Kwa namna wakina watakavyofosi kumkaba Morrison sioni namna ya wao kumaliza mechi salamaKuna uwezekano mkubwa sana ikatokea. Kwa jinsi Morrison na Miquissone wanavyolazimishaga kuingia kwenye eneo la 18, na kwa uchezaji wa rafu wa beki ya Yanga, uwezekano ni mkubwa Simba wakapata penati, idadi yake sijui ila walau moja
Si vizurii kumkatisha mtu tamaa ila kama hivyo ulivyovitaja ndio vigezo vitakavyoamua hamna namna inaweza fanya hayo matokeo yatokee .......yaani yanga wafunge goli mbili mechi moja never, never, neverKuzingatia Umuhimu wa game, ari, mazingira ya kimchezo hususani makao ya klabu hizo, mbinu, na hata utayari wa mchezo huo nje na ndani ya uwanja sambamba na nani hana cha kupoteza.
Natabiri hapa.
SIMBA 1 2 YANGA
Wafungaji kwa Simba natabiri mfungaji anaweza kuwa beki au kiungo
Ila kwa yanga ni KIUNGO na mshambuliaji.
Yanga hii hii?Yanga 2 Simba 1
Sasa mkuu kulikuwa hakuna haja ya uzi kama ulitaka wote waamini uaminivyo.Si vizurii kumkatisha mtu tamaa ila kama hivyo ulivyovitaja ndio vigezo vitakavyoamua hamna namna inaweza fanya hayo matokeo yatokee .......yaani yanga wafunge goli mbili mechi moja never, never, never
Ndio, Yanga 2 Simba1Yanga hii hii?
Ushindi wa Yanga hata mechi za kawaida ni goli moja moja sasa hizo mbili kwa Simba atazipataje.Yanga 2 Simba 1