UBASHIRI: Mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Mei 8, 2021

Hii mechi Simba atampiga Yanga zaidi ya goli 2.
Yanga si pisi ya Simba,hili linafahamikaga siku zote.
 
Manara ana over confidence,kuelekea Kariakoo derby kila interview ya Haji namuona anaushindi wa Simba mkononi.

Namsikiliza Haji hapa sports extra anaunguruma kama Simba wa mwituni.
 
Mkuu usipanick bwana ni namna tu kikosi cha simba kilivyo bora kila mtu anajua simba itashinda kilichobaki ni ushabiki tu
Mara ya mwisho kumfunga Yanga Ligi kuu ni lini?
 
Manara ana over confidence,kuelekea Kariakoo derby kila interview ya Haji namuona anaushindi wa Simba mkononi.

Namsikiliza Haji hapa sports extra anaunguruma kama Simba wa mwituni.
Atacheza namba ngapi?
 
Mbona nimeandika hapo chini bashiri kulingana na ubora wa timu shindanii sio mapenzi na ushabikii
Kwa hyo wote tuwe na jicho moja kwamba simba iko bora itashinda? Basi ungeenda kwenye group lenu la wasap kila mmoja ana namna yake ya kuanalyse mambo
 
pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…