Sidhani kama hii game itaoneshwa maana hata matangazo hayapoAzam anaonesha hii game?
Safi sanaSidhani kama hii game itaoneshwa maana hata matangazo hayapo
Dah yanga yafirika!! Umetisha mwenye nchi!!Rivers utd 3 vs dah yanga yafirika 0.
Simba alivyopigwa kipigo cha kufa mtu kule Afrika Kusini, je waliulizana aliyetoa wazo la kutangaza utalii?