Ubashiri: Rivers United vs Yanga

Ubashiri: Rivers United vs Yanga

Rivers United Vs Yanga

Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam.

Utopolo walilala kwa goli moja bila majibu uwanjani Nyumbani.

Tupia ubashiri wako hapa chini.

Wangu Ni Huu

Rivers United 2 Yanga 0

Utoooo[emoji2957]
Rivers 0 - Yanga 1 dakika 90
Mshindi atapatikana kwa matuta
 
Naitakia ushindi wowote ule timu yangu ya Wananchi. Mwalimu ajiepushe tu kupanga wachezaji wasio jiamini. Kule nyuma amuongeze Yanick Bangala. Zawadi Mauya na Nchimbi wapumzishwe kwenye hii mechi.
Hivi hii mechi haitaoneshwa ama
 
Kesho wataanza kuulizana nani aliyetoa wazo yanga wakatangaze utalii maana watapata kipigo cha kufa mtu
 
Simba alivyopigwa kipigo cha kufa mtu kule Afrika Kusini, je waliulizana aliyetoa wazo la kutangaza utalii?
Simba walishafika mbali walishatangaza Kongo, Sudan na, Misri na Afrika kusini.
wakati huo dunia nzima ilikuwa inawazungumzia hasa baada ya kumpa kipigo aliyekuwa bingwa ambaye kwenye michuano ya dunia alishika nafasi ya 3.
Nyinyi hamna historia yoyote zaidi ya aibu ya kusingizia watu wana corona
 
Kwahiyo mlipenda kuishia pale mlipoishia?
 
MUNGU IBARIKI RIVERS UTD TENA.

WE GO AGAINNNNNNNNNN RIVERS.
 
Yanga inakwenda kuvuka ila sijui idasi ya magoli.
 
Nazi Haishindani Na Jiwe
Mchezo Uliishia Dar Es Salaam
Wamekwenda Shingo Upande Ila Wanajua Nini Kitatokea
 
Back
Top Bottom