Ubashiri wangu kuelekea mechi za weekend

Ubashiri wangu kuelekea mechi za weekend

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Naam, burudani ya soka inarudi tena weekend hii baada ya mapumziko mafupi kupisha michuano ya kimataifa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, hivyo tutashuhudia mitanange kadhaa itakayopigwa katika madimba mbalimbali na nikiwa kama mdau wa soka nimeangazia michezo kadhaa kutoka katika ligi pendwa ya EPL na mwishowe kuja na utabiri kama ifuatavyo:

(NB: Ukiwa na utabiri wako weka).

images.png


1400 (EAT): Arsenal v Spurs: 3-2

1700 (EAT): Liverpool v Brighton: 3-1

1700 (EAT): Crystal Palace v Chelsea: 1-0

1700 (EAT): Southampton v Everton: 2-1

1700 (EAT): Fulham v Newcastle 2-1

1700 (EAT): Bournemouth v Brentford: 1-1

1930 (EAT): West Ham v Wolves: 1-1

1600 (EAT): Man City v Man Utd: 3-0

1830 (EAT): Leeds v Aston Villa: 2-2

2200 (EAT): Leicester v Nottingham Forest: 2-1


Fingers crossed!😎
 
Baadq ya international break ni ngumu sana kubashiri, wachezaji wana fatigue ya kwenda, hawajatrain pamoja kwa mda, so pamoja na kuja na prediction zilizoenda shule, bado tuweke biig room for awkward results.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nilisema Mimi man yuu vitatu Huwa hawaridhiki Hapo penyewe Sasa wikiend Yao ni murua sana
 
Mtoa mada kama hujiusishi na betting, usijaribu kuingia.
 
Back
Top Bottom