Ubashiri: Yanga VS Al Hilal draw (2-2/3-3)

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nahisi kuyaamsha baadhi ya mapepo yaliyolala, tukutane kesho saa tano usiku hapa.

Ninachojua Yanga anaingia makundi, kivipi, subiri dakika 90.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Ibariki timu yetu ya Yanga.
 
Kitendo Cha El mereikh kufuzu kimewapa hasira Al Hilal dhidi ya Yanga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yan unasema yanga anaingia makundi ila hujui kwanini [emoji23][emoji23]
 
Nahisi kuyaamsha baadhi ya mapepo yaliyolala, tukutane kesho saa tano usiku hapa.

Ninachojua Yanga anaingia makundi, kivipi, subiri dakika 90.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Ibariki timu yetu ya Yanga.
Mtaingia tu makundi si yapo kibao ...kuna makundi ya vikoba mm ndo naona mtaingia huko bado masaaa tu mtapotea humu jf
 
Kuna SUKUMA moja limepiga simu kwangu zaidi ya mara nne linaniita mimi GWANCHELE...naliambia umekosea linasema SIJAKOSEA NI WEWE HUYOHUYO....hovyo kweli
 
Wanaongoza kwa kukosea namba, sijui hawana kazi huko makwao. Wanakera sana na wanahisi kila mtu anaongea lugha yao.
 
Huo ndio ukweli, Tanzania hii hakuna asiyejua hata neno moja la Kisukuma!! Wacha roho mbaya.
Wanaongoza kwa kukosea namba, sijui hawana kazi huko makwao. Wanakera sana na wanahisi kila mtu anaongea lugha yao.
 
KWANGU ALIPIGA Simu BIBI MMOJA NKASEMA UMEKOSEA NAMBA AKAULIZA JINA LANGU KOSAA YAAN KILA KILA WIKI PDIDY UJAMBOOO UNAKUJA LINI GEITA AMA UJENICHUKUA AISEE NIKIFIKA MWANZA LAZIMA NIMSALIMIE SIO KWA UPENDOO HUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…