Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Watu wengi, especially wafuasi wa CHADEMA, wameonesha kupofushwa na chuki zao dhidi ya viongozi fulani kiasi cha kupoteza objectivity katika kupima nguvu ya hoja zinazotolewa na hao viongozi. That’s a very serious problem. Ni kukosa intellectual maturity!
Kimsingi, hatuhitaji kumpenda mtoa hoja. Kama hoja yake ni ya msingi, tunachounga mkono ni hoja iliyotolewa, sio mtoa hoja. Hakuna ubishani kwamba ubaya au uzuri wa mtoa hoja hauna maana kwamba hoja zake nazo ni mbaya au nzuri.
Ukishaanza kumfikiria mtoa hoja, jua unahitaji break; you’re no longer objective. Ukiendelea on that path, utakuwa unafanya zoezi la kufurahisha nafsi yako. Conclusion utakayokuja nayo itakuwa completely useless.
Ndiyo maana Lissu, pamoja na uhasimu mkubwa ambao umekuwepo kati yake na Ndugai, ameshindwa kuja na automatic dismissal ya hoja ya Ndugai. Hii approach ni sahihi na ni moja ya maeneo machache ambayo mimi na Lissu tunasimama upande mmoja!