Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sjatumia izo gari, ingawa nimeskia zinasumbua control box, kama zinavyosumbua rav4 second generation. otherwise ni gari nzuri, spacious n confortable, mambo ya kusema ni ndoa iy sioni kama ni issue sana as long as umejipanga kuimiliki. watu wanazo seven yrs now. zingekua ni vimeo watu wasingekua wanaendelea kuzinunua.
Yawned hapo unasema sijaitumia hiyo gari, hapo hapo unasema ni gari nzuri blah blah....
Hiyo gari ninzuri sana ila ni expensive kuimiliki nasemea kwa watu waaina yangu lakini kama unajiweza ikopoa uexpensive wake ni hivi,
mfano ukitaka plug zake kilo moja kila plug maana inatumia injection ukiweka za 30 tegemea ulaji mkubwa wa mafuta!haziharibiki hovyo zinakimbia sana kama nimtu wasafari!ni fourwheeldrive pia confortable control box ni imara huyo anayesema mbovu labda ilitokea kwake at once ktk xtrail 100,mafuta haibembelezi!
spea yake bei simchezo jipange kwa ushauri wabure nunu kilitime rav4,au harrier,kuluger,rush nimagari bora!ila kipendacho roho........
Hata rav4 ya 2000 ninzuri sana nikama ya 1999!RAV4 old model is wonderful!!
Inakula mafuta balaaRAV4 old model is wonderful!!