Ubaya na uzuri wa Nissan X-trail

Ubaya na uzuri wa Nissan X-trail

aliso

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
32
Reaction score
2
wakubwa naombeni msaada kwa ndugu na jamaa waliowahi kutumia aina hii ya gari.binafsi kwa picha tu nimeipenda.ila sijui undani wake.nisaidieni.
 
sjatumia izo gari, ingawa nimeskia zinasumbua control box, kama zinavyosumbua rav4 second generation. otherwise ni gari nzuri, spacious n confortable, mambo ya kusema ni ndoa iy sioni kama ni issue sana as long as umejipanga kuimiliki. watu wanazo seven yrs now. zingekua ni vimeo watu wasingekua wanaendelea kuzinunua.
 
Yaani hapo unasema sijaitumia hiyo gari, hapo hapo unasema ni gari nzuri blah blah....
 
eti mimi huwa najisemeaga brand za nissan ni bora sana, sijui ni kwasababu nazipenda ama la.
najua tu kwamba spea zake ni ghali ila kwa uzuri huwa naona ni nzuri sana. istoshe uzuri wa gari ni matunzo period.

ninamiliki gari mwaka wa 7 huu haijawah kunisumbua kusema eti gari ni mbaya ama aina hii ya gari ni mbaya. na safari ndefu inaenda. ubovu wa kwenye miguu huo ni kawaida sana sana kwenye magari na ni rahisi kudeal nao, ubovu wa injini nafkiri uko subjected na matumizi yako binafsi. kama engine oil haibadilishwi, injini haioshwi, kila siku unakazi ya kununulia oil na kuweka juu unategemea hiyo gari idumu??
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Hiyo gari ninzuri sana ila ni expensive kuimiliki nasemea kwa watu waaina yangu lakini kama unajiweza ikopoa uexpensive wake ni hivi,
mfano ukitaka plug zake kilo moja kila plug maana inatumia injection ukiweka za 30 tegemea ulaji mkubwa wa mafuta!haziharibiki hovyo zinakimbia sana kama nimtu wasafari!ni fourwheeldrive pia confortable control box ni imara huyo anayesema mbovu labda ilitokea kwake at once ktk xtrail 100,mafuta haibembelezi!
spea yake bei simchezo jipange kwa ushauri wabure nunu kilitime rav4,au harrier,kuluger,rush nimagari bora!ila kipendacho roho........
 
RAV4 old model is wonderful!!
 
Hivi Klugher na Harier alizozitaja Kakakiaza si zina engine kubwa kuliko Xtrail ambayo ina CC 2000?
 
Kwa upande wangu nimetumia toyota na nissan pia. Binafsi nikahitimisha kuwa nissan ni bora kuliko toyota. Nissan inadumu japo spea zake ni ghali. Yan ukimpa rough rider nissan inaweza kukaa muda mrefu kuliko toyota. So tuje kwenye uhalisia je unazo pesa ya kumaintain nissan? Kama pesa yako ni ya mawazo nunua toyota. Frm my experience smtymz nilikuwa nafanya servoce ya laki 5 mpaka milion bt ukifanya unasahau mwaka au miaka.
 
Unaposoma coment ni rahisi sana kutambua nani anamiliki gari na nani hamiliki gari.

Anayemiliki gari ukiona anakosoa kitu soma vizuri mchango wake utagundua kitu.sasa asiyemiliki gari mchango wake unafurahisha utasikia nissan ni ndoa ya kikristo,nissan nimagari vimeo sana,nissan ni magari mabovu nissan yanakufa hovyohovyo ,nissan hayatengenezeki yaani hapo ndio kamaliza kuchangia
 
Wadau yeyote anaefahamu matatizo Na uzuri was xtrail ya 2007,tafadhali nimeipenda hii
 
Hivi gari kusumbua ni tatizo la waliotengeneza au ukosefu wa wataalamu wa kuzifanyia service?
 
Back
Top Bottom