Hiyo gari ninzuri sana ila ni expensive kuimiliki nasemea kwa watu waaina yangu lakini kama unajiweza ikopoa uexpensive wake ni hivi,
mfano ukitaka plug zake kilo moja kila plug maana inatumia injection ukiweka za 30 tegemea ulaji mkubwa wa mafuta!haziharibiki hovyo zinakimbia sana kama nimtu wasafari!ni fourwheeldrive pia confortable control box ni imara huyo anayesema mbovu labda ilitokea kwake at once ktk xtrail 100,mafuta haibembelezi!
spea yake bei simchezo jipange kwa ushauri wabure nunu kilitime rav4,au harrier,kuluger,rush nimagari bora!ila kipendacho roho........