PreGE2025 Ubaya ubwela ndiyo huu: Wananchi wanaimba bora corona kuliko CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ukisika ubaya ubwela ndiyo huu baada ya kusikia wimbo ukiibwa na baadhi ya wanachama wa CCM wakisema wapinzani wakifa atulii bali tunawatupa mtoni waliwe na mamba!

Sasa kwenye video hii inaonyesha kundi la baadhi ya wananchi ambao kwa asilimia kubwa ni vijana wakiimba wakisema bora corona kuliko CCM. Hii sasa ni vita haswa ya kisiasa, ukimwaga mboga na mimi na mwaga ugali!

View attachment 3316687
Hao malofa wanajifurahisha, wanaijua corona au wamesahau? Wameshiba na kuvimbiwa wacha warukeruke. Ila ule wimbo wa CCM kiboko ndiyo maana KM aliupiga marufuku mara moja.
 
Ukisika ubaya ubwela ndiyo huu baada ya kusikia wimbo ukiibwa na baadhi ya wanachama wa CCM wakisema wapinzani wakifa atulii bali tunawatupa mtoni waliwe na mamba!

Sasa kwenye video hii inaonyesha kundi la baadhi ya wananchi ambao kwa asilimia kubwa ni vijana wakiimba wakisema bora corona kuliko CCM. Hii sasa ni vita haswa ya kisiasa, ukimwaga mboga na mimi na mwaga ugali!

View attachment 3316687
Naam, hizi ndo pigo serikali ya ccm imelazimisha wananchi waende nazo
 
Hakika, CCM kwa sasa ni adui mbaya zaidi kuliko chochote katika wale maadui wakuu wa Taifa.
 
Ukisika ubaya ubwela ndiyo huu baada ya kusikia wimbo ukiibwa na baadhi ya wanachama wa CCM wakisema wapinzani wakifa atulii bali tunawatupa mtoni waliwe na mamba!

Sasa kwenye video hii inaonyesha kundi la baadhi ya wananchi ambao kwa asilimia kubwa ni vijana wakiimba wakisema bora corona kuliko CCM. Hii sasa ni vita haswa ya kisiasa, ukimwaga mboga na mimi na mwaga ugali!

View attachment 3316687
😀😀
 
Hii ndio Ile nasikiaga wanasema " ukimwaga ugali, tunamwaga mboga"?
 
Back
Top Bottom