Ubaya ubwela umeondoka bila kombe hata moja! R.I.P Tutazamie msemo gani mwingine?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
Mwanzoni mwa msimu tuliambiwa Bwana Debora anaruka vichwa hatari, watu watapata tabu sana!

Tukaambiwa streka refu kuliko goli, akigusa tu! IMOOO

Ghafla mido ikaibiwa airport!

Tukajua hii Man city au PSG!

Punde si punde tukaanza kuona vitu vya Budo sanchez na jenshale 😂 zee la mikwaju ya penalty!
 
Dah! Siku zinaenda kasi sana 😀
Kipindi kile watu walipanda mpaka Mlima Kilimanjaro na kibegi chao cha nini sijui! Hatari sana.
 
Mwanzoni mwa msimu tuliambiwa Bwana Debora anaruka vichwa hatari, watu watapata tabu sana!

Tukaambiwa streka refu kuliko goli, akigusa tu! IMOOO

Ghafla mido ikaibiwa airport!

Tukajua hii Man city au PSG!

Punde si punde tukaanza kuona vitu vya Budo sanchez na jenshale
 
Simba labda tutegemee miujiza ya mchongo ya Mwamposa ,,,, yaani pale kuanzia mbele ya Kagoma wote ni wa kuingia dakika ya 90+ tena Simba ikiwa mbele kwa goli 3...
 
Mwanzoni mwa msimu tuliambiwa Bwana Debora anaruka vichwa hatari, watu watapata tabu sana!

Tukaambiwa streka refu kuliko goli, akigusa tu! IMOOO

Ghafla mido ikaibiwa airport!

Tukajua hii Man city au PSG!

Punde si punde tukaanza kuona vitu vya Budo sanchez na jenshale 😂 zee la mikwaju ya penalty!
Ubaya uboya
 
Back
Top Bottom