MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Unaweza muitwa 'Ahwaa' 😂 kwa kifupi zee la nyagiJenshalee ndo Nan huyo
Matokeo yake kibegi kimeenda kuokotwa ununio.Dah! Siku zinaenda kasi sana 😀
Kipindi kile watu walipanda mpaka Mlima Kilimanjaro na kibegi chao cha nini sijui! Hatari sana.
Mwanzoni mwa msimu tuliambiwa Bwana Debora anaruka vichwa hatari, watu watapata tabu sana!
Tukaambiwa streka refu kuliko goli, akigusa tu! IMOOO
Ghafla mido ikaibiwa airport!
Tukajua hii Man city au PSG!
Punde si punde tukaanza kuona vitu vya Budo sanchez na jenshale
Jenny sherehe ahoua🤣🤣🤣🤣Jenshalee ndo Nan huyo
Ubaya uboyaMwanzoni mwa msimu tuliambiwa Bwana Debora anaruka vichwa hatari, watu watapata tabu sana!
Tukaambiwa streka refu kuliko goli, akigusa tu! IMOOO
Ghafla mido ikaibiwa airport!
Tukajua hii Man city au PSG!
Punde si punde tukaanza kuona vitu vya Budo sanchez na jenshale 😂 zee la mikwaju ya penalty!
TapeliHivi zile baraka za Nabii Mtume wa Mungu Mwamposa bulldozer hazikuzaa matunda?
HahahahahaTapeli