Ubaya Ubwela watua Singida Black Stars, watishia kususia michezo iliyobaki na kuhamia ligi ya Zanzibar

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza amezema wameiandikia bodi ya ligi kuu (TPBL) wakitaka ufafanuzi wa masuala kadhaa ikiwemo kuonewa na waamuzi wanapocheza na Simba SC.

Amedai wasipopata majibu ya kuridhisha hawatashiriki michezo iliyobaki, watajitoa kwenye Michuano yote na huku akibainisha ni bora wahamie Zanzibar.
 
Wapambane hapa hapa na utawala dharim ligi ya zenji ni ya ajabu zaidi ya hii refer mechi za muungano au mapinduzi huwa zina makandokando sana
Zanzibar Kuna team zilifungana magoli mengi sana ikiwa sehemu ya rushwa au match fixing sema caf hawakujali sana maana hawaioni kama ni ligi yenye maana
 
View attachment 3349945Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza amezema wameiandikia bodi ya ligi kuu (TPBL) wakitaka ufafanuzi wa masuala kadhaa ikiwemo kuonewa na waamuzi wanapocheza na Simba SC.

Amedai wasipopata majibu ya kuridhisha hawatashiriki michezo iliyobaki, watajitoa kwenye Michuano yote na huku akibainisha ni bora wahamie Zanzibar.
Wasitishie nyau. Wana mechi keshokutwa, ina maana wasipojibiwa kabla ya hiyo mechi hawatacheza?

Hawa SBS hawana aibu kujionyesha waziwazi kuwa ni tawi la uto ndiyo maana hizo rasharasha za ubaya ubwela zinawafikia.
 
Ashawahi kulailalamikia management ya timu yake kwenye mechi dhidi ya Yanga walipoweka bench wachezaji zaidi ya 7 muhimu wanaoanza kwenye mechi zote tough?
 
Safi sana. Na wasimamie kwa vitendo ili kuukomesha kabisa huu uhuni wa kushinda mechi kupitia waamuzi wa mchongo, na wanao pokea bahasha ili kuibeba timu ya simba.
 
View attachment 3349945Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza amezema wameiandikia bodi ya ligi kuu (TPBL) wakitaka ufafanuzi wa masuala kadhaa ikiwemo kuonewa na waamuzi wanapocheza na Simba SC.

Amedai wasipopata majibu ya kuridhisha hawatashiriki michezo iliyobaki, watajitoa kwenye Michuano yote na huku akibainisha ni bora wahamie Zanzibar.
Safi sana..
 
Tatizo marefa wenu wanapendelea Mpaka kero

Safi sana. Na wasimamie kwa vitendo ili kuukomesha kabisa huu uhuni wa kushinda mechi kupitia waamuzi wa mchongo, na wanao pokea bahasha ili kuibeba timu ya simba.
Uto haioni aibu wala soni kushinda kwa hila.

Definition ya Ubaya Ubwela kwa mujibu wa kamusi ya Oxford: Unachofanya, utafanyiwa.

Mfano, Ukifanya jambo wazi bila aibu, na wewe utafanyiwa wazi bila aibu.
 
Yanga baada ya kuona Simba hawajadondosha points wamechanganyikiwa 😂 Yan zile games 4 za mfululizo walitegemea sana ikawa tofauti ikabaki kete ya singida sasa nayo imebuma. Lazima isikike milio
 
MUUZA MAGODORO ANADHAMINI TIMU NANE LIGI KUU NA TIMU HIZO ZOTE ZINAMPA POINT 6 KILA MMOJA ,INAANA JUMLA ANAKUSANYA POINT 48 KWETU SS, HAKUNA ANAEOJI HILI, MAANA HAKUNA HATA TIMU MOJA KATI YA HIZI NANE ILIYOONESHA USHINDANI KWA AMPHIBIA🐸

MSITUCHOSHE SASA WE IMAGINE TIMU INAANZA LEAGUE INAJUA TAYAR INA POINT 48, UNATEGEMEA LIGI IWE NA USAWA , WENZENU WALICHOFANYA NI KUTAFUTA NAMNA YA KUPAMBANA NA UPUUZ WENU
 
View attachment 3349945Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza amezema wameiandikia bodi ya ligi kuu (TPBL) wakitaka ufafanuzi wa masuala kadhaa ikiwemo kuonewa na waamuzi wanapocheza na Simba SC.

Amedai wasipopata majibu ya kuridhisha hawatashiriki michezo iliyobaki, watajitoa kwenye Michuano yote na huku akibainisha ni bora wahamie Zanzibar.
Waende DRC Congo
 
Niliwahi kusema Yanga wanaanza ligi ikiwa na point 48 kibindoni. TFF kinyago walichokichonga sasa kinawatisha😊
 
Yaani tuchanganyikiwe na nyie tulio wakojoza mara 4 nje ndani?Na Mbona tarehe 8 ulikimbia Getto baby?
Yanga baada ya kuona Simba hawajadondosha points wamechanganyikiwa 😂 Yan zile games 4 za mfululizo walitegemea sana ikawa tofauti ikabaki kete ya singida sasa nayo imebuma. Lazima isikike milio
 
MUUZA MAGODORO ANADHAMINI TIMU NANE LIGI KUU NA TIMU HIZO ZOTE ZINAMPA POINT 6 KILA MMOJA ,INAANA JUMLA ANAKUSANYA POINT 48 KWETU SS, HAKUNA ANAEOJI HILI, MAANA HAKUNA HATA TIMU MOJA KATI YA HIZI NANE ILIYOONESHA USHINDANI KWA AMPHIBIA🐸

MSITUCHOSHE SASA WE IMAGINE TIMU INAANZA LEAGUE INAJUA TAYAR INA POINT 48, UNATEGEMEA LIGI IWE NA USAWA , WENZENU WALICHOFANYA NI KUTAFUTA NAMNA YA KUPAMBANA NA UPUUZ WENU
Wakati huo mikataba ya udhamini yote inapitia TFF,je kama Kuna shida ya hiyo mikataba ya udhamini TFF si inge ipiga chini?5imba mkubali tu kua hamna kikosi Cha kushidana na Yanga coz tume wagonga mara 4 back to back mara ya Tano ndio mmekimbia Getto 😆
 
Safi sana. Na wasimamie kwa vitendo ili kuukomesha kabisa huu uhuni wa kushinda mechi kupitia waamuzi wa mchongo, na wanao pokea bahasha ili kuibeba timu ya simba.
Halafu siku wakicheza na wahuni yanga wabadilishe kikosi kizima, hapo ndiyo fair.
 
View attachment 3349945Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza amezema wameiandikia bodi ya ligi kuu (TPBL) wakitaka ufafanuzi wa masuala kadhaa ikiwemo kuonewa na waamuzi wanapocheza na Simba SC.

Amedai wasipopata majibu ya kuridhisha hawatashiriki michezo iliyobaki, watajitoa kwenye Michuano yote na huku akibainisha ni bora wahamie Zanzibar.
Wahamie tyu Zanzibar!
Ihefu Fc - Singida Fc - Yanga Fc

Kwendraaaaaaa
 
Halafu siku wakicheza na wahuni yanga wabadilishe kikosi kizima, hapo ndiyo fair.
Kwani wachezaji huwa wanasajiliwa ili wafanye nini? Unaweza kunitajia hata timu moja tu, ambayo haijabadilisha kikosi chake kwenye mechi zake zote ilizocheza kwenye ligi na mashindano yake mengine?
 
Back
Top Bottom