MUWHWELA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 167
- 238
Niwasalimu ndugu zangu hapa!!
Nimejikuta najiwazisha kwa sauti nikaona ni kheri niandike huenda Kuna Mwingine naye amepitiwa na frecuency kama hizi akaweka umakini hapo.
DHANA YA MATESO:
Kila nikisoma hivi karibu habari mbali mbali nakutana na binadamu kufanyiana mambo yanayopelekea kuuipoteza UHAI wa Mwingine bila Hiyari yake, it's very sad. Chagua furaha
Nikajiuliza Maswali kadhaa, ukimtesa mwenzio mwenye mwili kama wewe unapata faida Gani? Ukitoa tamaa za Mali, wakati Mwingine anapata MATESO wewe ndiye mtesaji mwenyewe unapata faida Gani? Chagua furaha
Nguvu utumie wewe,MATESO nipate Mimi ,kwa idadi yoyote ya kipimo Cha maumivu at the end Mwili wangu utakosa nguvu ya kushirikiana na nitarudi kwenye low frecuency (kifo) wewe unafaidi nini? Chagua furaha
Kwa sheria ya Asili sote tutarudi kwenye low frecuency bila KUOMBA kurudi huko. Let's pay respect for the living things including us as one of species on earth. Ukijiona una hasira ,jifunze namna Bora ya kuingiza pumzi na kutoa pumzi maana Katika hiyo ndipo tiba ya frecuency leveling inapatikana.. Don't kill. Chagua furaha
Kama ulifundishwa mahala kwamba ukimfanyia MTU ubaya unaoondoa frecuency ya juu kwamba utabaki salama basi ulifundishwa jambo lisilo sahihi, what goes around comes around , chagua furaha
Hakuna sababu on earth inayompa MTU uhalali wa kuondoa UHAI wa Mwingine,jamii yotote iliyofikia hatua hiyo ni jamii iliyokosa kuelewa dhana ya UPENDO na Kitendo, only words can heal our society (Tujifunze kuzungumza huu ulimwengu Tulipewa Ili tuufurahie siyo tutesane) chagua furaha
DHANA YA FURAHA:
Kinyume Cha MATESO ni FURAHA,lolote linalofanyika chini ya hili jua shabaha yake ilipaswa iwe FURAHA na ndiyo jitihada na juhudi za Kila MTU mwenye Mwili. Chagua furaha
Usiweke kikwazo Katika hatua za kufikia hiyo furaha, vikwazo ni vingi nakubali Lakini bado havizidi uwezo wetu wa kukabiliana navyo, chagua furaha
Tunamaliza safari yetu Katika frecuency hii yenye kushikika na kuhamia kwenye frecuency nyingine,hakikisha na hakika ipo namna ya makutano huko, weka akiba ya wema na utu kwa viumbe wenzako, chagua furaha
Tukipata Tena neema ya KUANDIKA tutaandika kwa Sasa inatosha ,ukimdhuru mwenzako unapata faida Gani!!!!!
2024