Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio zote zina 3SIle ina 3S-GE engine. Hakikisha hauzidishi ujazo wa oil wakati unafanya service, huwa ina tabia ya kuvuja kwenye valve cover gasket, ila pia tumia oil filter genuine sio zile fake. Na hakikisha timing belt iko poa. Sababu kwa hizo gari, timing belt ikikatika ukiwa kwenye mwendo, pistons zitapiga valves na itakua balaa.
ikitokea umezidisha hyo oil na ikaanza kuvuja kwenye valve cover gasket, je madhara ni yapi?? na solution ya kuzuia kuvuja ni nn? naomba unisaidie majibu tafadhali kuna mtu ana hlo tatzoIle ina 3S-GE engine. Hakikisha hauzidishi ujazo wa oil wakati unafanya service, huwa ina tabia ya kuvuja kwenye valve cover gasket, ila pia tumia oil filter genuine sio zile fake. Na hakikisha timing belt iko poa. Sababu kwa hizo gari, timing belt ikikatika ukiwa kwenye mwendo, pistons zitapiga valves na itakua balaa.
sio zote zina 3S
acha kukurupuka nilisharekebisha comment yangu! pitia tena, hutaona hyo IJZIla we jamaa ni chai sana, Jamaa ameshakwambia ni 4Cylinders we unaleta habari zako hapa za 1JZ kazi ujuaji tu. Ulishaona 1jz ya 2.0 wewe?
1jz ni 6cylinders not 4 kwahiyo jamaa amemueleza kwa usahihi kabisa.
Soma vizuri kwa umakini halafu ndo ujibu ukiwa umetulia.
4 cylinders RS200 zote ni 3S-GE. Ila sio Altezza zote ni 3S-GE. Kuna AS200 yenye 1G-FE na kuna AS300 ina 2JZ-GE.sio zote zina 3S
Hapo kitu cha msingi ni kutafuta valve cover gasket mpya na kuweka. Mafundi watakushauri uweke rubber silcon ila sio wazo zuri sababu gasket inakua imechoka, silcon haitadumu saana. Ila kwa hizo engine za 3S-GE BEAMS inabidi kutafuta fundi makini anaezifahamu. Sababu ni chache saana na zilitengenezwa na Toyota na Yamaha, kama alivyosema Biohazard kwa ajili ya Altezza specifically. Sijui kama kuna gari nyingine inatumia hiyo. So spare parts zake ni chache.ikitokea umezidisha hyo oil na ikaanza kuvuja kwenye valve cover gasket, je madhara ni yapi?? na solution ya kuzuia kuvuja ni nn? naomba unisaidie majibu tafadhali kuna mtu ana hlo tatzo
Hapo kitu cha msingi ni kutafuta valve cover gasket mpya na kuweka. Mafundi watakushauri uweke rubber silcon ila sio wazo zuri sababu gasket inakua imechoka, silcon haitadumu saana. Ila kwa hizo engine za 3S-GE BEAMS inabidi kutafuta fundi makini anaezifahamu. Sababu ni chache saana na zilitengenezwa na Toyota na Yamaha, kama alivyosema Biohazard kwa ajili ya Altezza specifically. Sijui kama kuna gari nyingine inatumia hiyo. So spare parts zake ni chache.
Bio
4 cylinders RS200 zote ni 3S-GE. Ila sio Altezza zote ni 3S-GE. Kuna AS200 yenye 1G-FE na kuna AS300 ina 2JZ-GE.
Ningenunua altezza ninge prefer yenye engine ya 2JZ-GE mtu asiniambie habari za Wese hapa wengine tuna prefer performance,nilikuaga na Celica nika swap na 1JZ engine aisee ilikua ni very fun.Bio
4 cylinders RS200 zote ni 3S-GE. Ila sio Altezza zote ni 3S-GE. Kuna AS200 yenye 1G-FE na kuna AS300 ina 2JZ-GE.
2JZ-GE iko poa kama unataka performance. Ila kwa Altezza iliwekwa kwenye Altezza Gita tuu, labda kama utapata Lexus IS300 ambayo nafikiri iliuzwa Marekani na Ulaya pekee. Japo 3S-GE nayo haiko nyuma saana kwa 2JZ-GE. Zinapishapishana nguvu kidogo.Ningenunua altezza ninge prefer yenye engine ya 2JZ-GE mtu asiniambie habari za Wese hapa wengine tuna prefer performance,nilikuaga na Celica nika swap na 1JZ engine aisee ilikua ni very fun.
Nadhani mziki wa 2JZ utakua ni noma sana mkuu.
Swali lako kama liko too general vile. Ila kuna aina kuu mbili za Altezza. Altezza (salon) na Altezza Gita (wagon). Tofauti na muundo wa bodi, inafanana karibu kila kitu, kasoro vitu vichache saana. Kwenye engine options ndio kama zilizotajwa hapo juuAlteza gan ni nzuri kununua...uimara na uvumilivu w shida za barabara na mafundi wa kibongo
Daah altezza gita ile kisogo chake"hatchback" sikipendi kabisaa far better hio lexus2JZ-GE iko poa kama unataka performance. Ila kwa Altezza iliwekwa kwenye Altezza Gita tuu, labda kama utapata Lexus IS300 ambayo nafikiri iliuzwa Marekani na Ulaya pekee. Japo 3S-GE nayo haiko nyuma saana kwa 2JZ-GE. Zinapishapishana nguvu kidogo.
Hehehee. Iko poa tuu mbona. Ukikaa nayo ukiizoea. Hasa kama umeshacha suspension kwenye setting za kiwandani bila kuinyanyua.Daah altezza gita ile kisogo chake"hatchback" sikipendi kabisaa far better hio lexus