Ubaya wa alteza 4 cylinder

Ubaya wa alteza 4 cylinder

Bio

4 cylinders RS200 zote ni 3S-GE. Ila sio Altezza zote ni 3S-GE. Kuna AS200 yenye 1G-FE na kuna AS300 ina 2JZ-GE.
Kumbe na ww unajifanya mjuaji kumbe hamna kitu, hakuna alteza inayokuja na 2jz, hizo alteza unazoziona tena kwenye team tezza wamefunga 1jz gte, wewe unaijua performance ya 2jz gte wewe? Kwanza cc zake ni balaa pili inahitaji body nzito kama crown hivi, wajapan wana akili sana kufunga 3s GE na 1G, hapo ukiangalia utaona cc zake hazitofautiani sana ingawa hii ni 6 na nyingine ni 4,ndio maana ukifunga 1jz gte yenye cc 2500 itakaa vizuri ingawa sio sana kutokana na injini kuwa na nguvu sana kuliko body. Tafuta clip za alteza iliyofungwa 1jz gte utaelewa nachokisema.
 
Ningenunua altezza ninge prefer yenye engine ya 2JZ-GE mtu asiniambie habari za Wese hapa wengine tuna prefer performance,nilikuaga na Celica nika swap na 1JZ engine aisee ilikua ni very fun.

Nadhani mziki wa 2JZ utakua ni noma sana mkuu.
1jz gte inatosha sana kwenye alteza hasa ukipata yenye turbo ni balaa kuanzia mlio hadi performance nadhani subaru inakaa pembeni mziki wake
 
Hujasoma comments zangu vizuri ndugu. Soma kwanza, then pitia hii link TOYOTA ALTEZZA GITA, AS300 catalog - reviews, pics, specs and prices | Goo-net Exchange
 
Nimesoma na nimeelewa vizuri tu ila concept yangu umeielewa vizuri sababu nimeelezea kitaalam kidogo, hiyo 2jz unaweza ukafunga kwenye Gita sababu ina body kubwa
Nafikiri hizo gari huzifahamu vizuri. Zote zinalingana kwenye engine bay. Uzito kati ya Gita na Salon zinapishana kidogo saana, japo Gita ni nzito. Hiyo gari kwenye soko la US iliuzwa kama IS300 na ilikuja na engine ya 2JZ-GE as standad. Sasa sijaelewa huo utaalamu unaelezea nini. Maana 2JZ imekuja as standard, sio kwa modification kama unavyosema. Fuatilia kidogo tu utajua.
 
Mkimaliza huko kwenye altezza mtusaidie na sisi tunao miliki bajaji kwa matumizi ya familia ( sio kwa biashara).

Ninamiliki haka
BAJAJI.jpg
Hiki lazima kinatumia umeme aise.
 
Ile ina 3S-GE engine. Hakikisha hauzidishi ujazo wa oil wakati unafanya service, huwa ina tabia ya kuvuja kwenye valve cover gasket, ila pia tumia oil filter genuine sio zile fake. Na hakikisha timing belt iko poa. Sababu kwa hizo gari, timing belt ikikatika ukiwa kwenye mwendo, pistons zitapiga valves na itakua balaa.
Thnks mkuu nikifanya service ntamwambia fundi aicheck
 
Ila we jamaa ni chai sana, Jamaa ameshakwambia ni 4Cylinders we unaleta habari zako hapa za 1JZ kazi ujuaji tu. Ulishaona 1jz ya 2.0 wewe?

1jz ni 6cylinders not 4 kwahiyo jamaa amemueleza kwa usahihi kabisa.

Soma vizuri kwa umakini halafu ndo ujibu ukiwa umetulia.
Duu...umemjibu kwa ukali. .wewe ungkuwa mwalimu hakika kwenye darasa lako siulizi swali[emoji23][emoji23]
 
Ningenunua altezza ninge prefer yenye engine ya 2JZ-GE mtu asiniambie habari za Wese hapa wengine tuna prefer performance,nilikuaga na Celica nika swap na 1JZ engine aisee ilikua ni very fun.

Nadhani mziki wa 2JZ utakua ni noma sana mkuu.

unaendesha gari zina hp ndogo kweli ...engine ya 2jz na hp zake 215 to 230 inakuaje bora na powerful kwa gari la zaid ya tani moja ...labda ukafunge kwenye bodi ya ariel atom or suzuki carry ndo itakuwa noma
 
1jz gte inatosha sana kwenye alteza hasa ukipata yenye turbo ni balaa kuanzia mlio hadi performance nadhani subaru inakaa pembeni mziki wake
ha ha ha ungeandika hivi

1jz inatosha kwa alteza ila ukipata 1jz gte na mlio wake wa turbo plus perfomance nadhan subaru inakaa pembeni

ukisema 1jz gte taar ina turbo sawa?? then subaru itakayokaa kwa 1jz gte with 280hp labda forester sio impreza
 
Kumbe na ww unajifanya mjuaji kumbe hamna kitu, hakuna alteza inayokuja na 2jz, hizo alteza unazoziona tena kwenye team tezza wamefunga 1jz gte, wewe unaijua performance ya 2jz gte wewe? Kwanza cc zake ni balaa pili inahitaji body nzito kama crown hivi, wajapan wana akili sana kufunga 3s GE na 1G, hapo ukiangalia utaona cc zake hazitofautiani sana ingawa hii ni 6 na nyingine ni 4,ndio maana ukifunga 1jz gte yenye cc 2500 itakaa vizuri ingawa sio sana kutokana na injini kuwa na nguvu sana kuliko body. Tafuta clip za alteza iliyofungwa 1jz gte utaelewa nachokisema.

we sijui unaandika nn?? 2jz ge ni engine official kabisa inayopatikana kwa alteza labda 1jz ndo toleo la kwanza la teza hamna hata la pili lakini 2jz ipo kabisa kwa AS300
 
ha ha ha ungeandika hivi

1jz inatosha kwa alteza ila ukipata 1jz gte na mlio wake wa turbo plus perfomance nadhan subaru inakaa pembeni

ukisema 1jz gte taar ina turbo sawa?? then subaru itakayokaa kwa 1jz gte with 280hp labda forester sio impreza
Kuna wajomba wanajua mpaka wana boaaa
 
we sijui unaandika nn?? 2jz ge ni engine official kabisa inayopatikana kwa alteza labda 1jz ndo toleo la kwanza la teza hamna hata la pili lakini 2jz ipo kabisa kwa AS300
Ipo kwenye Gita tu hiyo tena sio zote
 
Back
Top Bottom