"Ukitaka kujua ubaya wa Elimu ya Tanzania ukihitimu chuo mfano umesoma miaka 3 ukienda kuomba Ajira unaambiwa wanahitaji Mtu mwenye Experience ya miaka 5" Je miaka yako Mitatu uliyokuwa chuo ulikuwa unafanya nini?.......
Kuna kazi zipo za fresh graduate mnapigwa internship ndio mnaingia mzigoni.sema wengi hawataki shughuli ya kuwaanda,wanataka unaingia na kupiga mzigo kama super sub vile.ndio mambo ya experiance yanakuja.