Ubaya wa Hayati JPM ni kudhibiti mianya ya rushwa na kusimamia vyema mapato ya Serikali?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.

Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?

Alihakikisha kuwa pesa za umma zinakwenda hazina kuliko kuliwa? Pia alihakikisha raia wa chini hawakandamizwi na tozo onevu.

Huu ndio ubaya ulioumanisha ?

Kama ndio hivi basi furahia watanzania wakiteseka ma mgao wa January na tozo onevu
 
JPM alikuwa fisadi nambari one na watu wengi wamepotea na kufa hadi leo kupitia maagizo yake, wote wanaomshabikia watakwenda Gamboshi pamoja naye!
 
umezungumza ubaya kwa maoni yako wewe, na ukasahau kwamba
1. kwa miaka 6 watumishi wa umma nchini hawakuongezewa mishahara wala kupandishwa madaraja
2. kwamba watu waliporwa korosho zao huko kusini tena kwa kutumia jeshi bila malipo
3. kuna watu walipigwa risasi, kupotea na kutekwa wengine mpaka leo hajulikani wapo wapi
3. watu walibambikiziwa kesi za uongo na kuporwa mali zao
Hayo na mengine ni mema kwa mtazamo wako wewe? siyo ubaya?
 
Haukuwa mkono wa JPM kuna kundi liliamua fanya kwa masalhi binfasi hata kumuharibia na kumchafua kisiasa
 
Kulindana. Uzuri sasa hivi hakuna pakujificha. Kila kitu hadharani. Hawa wanaosema hawafi ngoja waendelee kuishi ili waone kuwa ni ngumu ujanja ujanja kuendelea kutamalaki
 
Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.

Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?

Alihakikisha kuwa pesa za umma zinakwenda hazina kuliko kuliwa? Pia alihakikisha raia wa chini hawakandamizwi na tozo onevu.

Huu ndio ubaya ulioumanisha ?

Kama ndio hivi basi furahia watanzania wakiteseka ma mgao wa January na tozo onevu
Tangu lini CCM wakapenda uadilifu, ukweli na haki?. Kwenye hilo genge, ukiwa na characters hizo humo huwezi kaa kabisa.
 
Hapana mkuu. ubaya WA DIKTETA MAGUFULI ni kuwatumia kama condoms MKURUGENZI WA MASHTAKA DPP. INSPEKTA JENERALI WA POLICE IGP. SPIKA WA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO. NA JAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA. Hakika hakuna uwezekano WA kumsamehe FASHISTI kama yule.
 
Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.

Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?

Alihakikisha kuwa pesa za umma zinakwenda hazina kuliko kuliwa? Pia alihakikisha raia wa chini hawakandamizwi na tozo onevu.

Huu ndio ubaya ulioumanisha ?

Kama ndio hivi basi furahia watanzania wakiteseka ma mgao wa January na tozo onevu
Kubwa kuliko hayo ni ile timu aliyounda kuhakiki mali za Chama. Kina Makamba na mamwinyi wengina walikuwa wamehodhi mali nyingi mno kiaina na kuamini nchi ni ya kwao. Ndio maana baadaye akasema hii nchi haitarudi kwa wageni tena kamwe. Fikiria ulikuwa una gari la kifahari huna kadi yake kwa vile ni la CCM lakini linatengenezwa bure, mafuta linakunywa bure etc. Utakuwa katika hali gani ukinyanganywa na huna cha kujitetea kwa kuwa si lako. Kuna mwingine alikuwa anamiliki Channel ten TV. Sasa Magufuli kurudisha yote hayo mikononi mwa chama ni lazima awe na maadui wengi na maskini Bashiru aliyeongoza timu naye akachuma maadui elfu waliokuwa wanamiliki mali zisizokuwa zao,
 
umezungumza ubaya kwa maoni yako wewe, na ukasahau kwamba
1. kwa miaka 6 watumishi wa umma nchini hawakuongezewa mishahara wala kupandishwa madaraja
2. kwamba watu waliporwa korosho zao huko kusini tena kwa kutumia jeshi bila malipo
3. kuna watu walipigwa risasi, kupotea na kutekwa wengine mpaka leo hajulikani wapo wapi
3. watu walibambikiziwa kesi za uongo na kuporwa mali zao
Hayo na mengine ni mema kwa mtazamo wako wewe? siyo ubaya?
Mwaka huu tumeongezewa 10000 kipindi cha magufuli nilifitiwa kodi mpaka 11 % nikaona 51000 imeongezeka hata bila panic yeyyote kwenye kama mama alovyoleta tahruki kwenye mfumuko wa bei kwa nyongeza ya 10000
 
Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.

Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?

Alihakikisha kuwa pesa za umma zinakwenda hazina kuliko kuliwa? Pia alihakikisha raia wa chini hawakandamizwi na tozo onevu.

Huu ndio ubaya ulioumanisha ?

Kama ndio hivi basi furahia watanzania wakiteseka ma mgao wa January na tozo onevu
Watanzania lazima tuamke tuache ujinga hawa mafisadi wanaitafuna nchi vizuri sn
 
Kama wakina ben saa8, tundu lisu na walio okotwa kwenye viroba walikua ni rushwa, basi alizibiti sana
 
Mwaka huu tumeongezewa 10000 kipindi cha magufuli nilifitiwa kodi mpaka 11 % nikaona 51000 imeongezeka hata bila panic yeyyote kwenye kama mama alovyoleta tahruki kwenye mfumuko wa bei kwa nyongeza ya 10000
andika vizuri tuelewe.
 
Back
Top Bottom