Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
uliajiriwa lini? ukifutiwa kodi haina maana kwamba mshahara umepanda mkuu.Mwaka huu tumeongezewa 10000 kipindi cha magufuli nilifitiwa kodi mpaka 11 % nikaona 51000 imeongezeka hata bila panic yeyyote kwenye kama mama alovyoleta tahruki kwenye mfumuko wa bei kwa nyongeza ya 10000