Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
JPM alikuwa fisadi nambari one na watu wengi wamepotea na kufa hadi leo kupitia maagizo yake, wote wanaomshabikia watakwenda Gamboshi pamoja naye!Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.
Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?
Alihakikisha kuwa pesa za umma zinakwenda hazina kuliko kuliwa? Pia alihakikisha raia wa chini hawakandamizwi na tozo onevu.
Huu ndio ubaya ulioumanisha ?
Kama ndio hivi basi furahia watanzania wakiteseka ma mgao wa January na tozo onevu
Hapa wameingia vipi?Chadema ni wapumbavu sana hata Makonda walimsingizia
umezungumza ubaya kwa maoni yako wewe, na ukasahau kwambaWatanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.
Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?
Alihakikisha kuwa pesa za umma zinakwenda hazina kuliko kuliwa? Pia alihakikisha raia wa chini hawakandamizwi na tozo onevu.
Huu ndio ubaya ulioumanisha ?
Kama ndio hivi basi furahia watanzania wakiteseka ma mgao wa January na tozo onevu
Haukuwa mkono wa JPM kuna kundi liliamua fanya kwa masalhi binfasi hata kumuharibia na kumchafua kisiasaJPM alikuwa fisadi nambari one na watu wengi wamepotea na kufa hadi leo kupitia maagizo yake, wote wanaomshabikia watakwenda Gamboshi pamoja naye!
Weka ushahidiJPM alikuwa fisadi nambari one na watu wengi wamepotea na kufa hadi leo kupitia maagizo yake, wote wanaomshabikia watakwenda Gamboshi pamoja naye!
Tangu lini CCM wakapenda uadilifu, ukweli na haki?. Kwenye hilo genge, ukiwa na characters hizo humo huwezi kaa kabisa.Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.
Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?
Alihakikisha kuwa pesa za umma zinakwenda hazina kuliko kuliwa? Pia alihakikisha raia wa chini hawakandamizwi na tozo onevu.
Huu ndio ubaya ulioumanisha ?
Kama ndio hivi basi furahia watanzania wakiteseka ma mgao wa January na tozo onevu
Kubwa kuliko hayo ni ile timu aliyounda kuhakiki mali za Chama. Kina Makamba na mamwinyi wengina walikuwa wamehodhi mali nyingi mno kiaina na kuamini nchi ni ya kwao. Ndio maana baadaye akasema hii nchi haitarudi kwa wageni tena kamwe. Fikiria ulikuwa una gari la kifahari huna kadi yake kwa vile ni la CCM lakini linatengenezwa bure, mafuta linakunywa bure etc. Utakuwa katika hali gani ukinyanganywa na huna cha kujitetea kwa kuwa si lako. Kuna mwingine alikuwa anamiliki Channel ten TV. Sasa Magufuli kurudisha yote hayo mikononi mwa chama ni lazima awe na maadui wengi na maskini Bashiru aliyeongoza timu naye akachuma maadui elfu waliokuwa wanamiliki mali zisizokuwa zao,Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.
Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?
Alihakikisha kuwa pesa za umma zinakwenda hazina kuliko kuliwa? Pia alihakikisha raia wa chini hawakandamizwi na tozo onevu.
Huu ndio ubaya ulioumanisha ?
Kama ndio hivi basi furahia watanzania wakiteseka ma mgao wa January na tozo onevu
Mwaka huu tumeongezewa 10000 kipindi cha magufuli nilifitiwa kodi mpaka 11 % nikaona 51000 imeongezeka hata bila panic yeyyote kwenye kama mama alovyoleta tahruki kwenye mfumuko wa bei kwa nyongeza ya 10000umezungumza ubaya kwa maoni yako wewe, na ukasahau kwamba
1. kwa miaka 6 watumishi wa umma nchini hawakuongezewa mishahara wala kupandishwa madaraja
2. kwamba watu waliporwa korosho zao huko kusini tena kwa kutumia jeshi bila malipo
3. kuna watu walipigwa risasi, kupotea na kutekwa wengine mpaka leo hajulikani wapo wapi
3. watu walibambikiziwa kesi za uongo na kuporwa mali zao
Hayo na mengine ni mema kwa mtazamo wako wewe? siyo ubaya?
Watanzania lazima tuamke tuache ujinga hawa mafisadi wanaitafuna nchi vizuri snWatanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.
Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?
Alihakikisha kuwa pesa za umma zinakwenda hazina kuliko kuliwa? Pia alihakikisha raia wa chini hawakandamizwi na tozo onevu.
Huu ndio ubaya ulioumanisha ?
Kama ndio hivi basi furahia watanzania wakiteseka ma mgao wa January na tozo onevu
NonsenseJPM alikuwa fisadi nambari one na watu wengi wamepotea na kufa hadi leo kupitia maagizo yake, wote wanaomshabikia watakwenda Gamboshi pamoja naye!
andika vizuri tuelewe.Mwaka huu tumeongezewa 10000 kipindi cha magufuli nilifitiwa kodi mpaka 11 % nikaona 51000 imeongezeka hata bila panic yeyyote kwenye kama mama alovyoleta tahruki kwenye mfumuko wa bei kwa nyongeza ya 10000