Ubaya wa kazi ya ualimu ni upi?

Ubaya wa kazi ya ualimu ni upi?

Tus66

Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Watu wengi hawapendi kazi ya ualimu mimi binafi huwa sioni ubaya wa kazi hii labda wadau mnaionaje kazi ya ualimu na ubaya wake ni upi?
 
Mi naipenda kazi hii kinomanoma!Tena ukizingatia ina malikizo mengi,kuliko kazi zingne kama uanajeshi n.k.
 
Kama unafundisha vipindi vyako tu then unasepa kwenye mishe zako ubaya uko wapi? Usipende kuibaiba vinakostii
 
Kwa nchi yetu ukisikia mtu anasifiwa ana kazi nzuri haimaanishi mshahara wake, ni kwa sababu yupo sehemu ya wizi, rushwa au masurufu/marupurupu mengi. Kwa hivyo ualimu haupendwi kwa sababu hayo yote hauna.
 
Bado hata hao waliopo kwenye nafasi za wizi, rushwa na masurufu ni wachache kwani wafanyakazi wengi wanalia ila sema wanaishi kwa matumaini ya one day yes tofauti na walimu lakini hao hao mwisho wa siku hulia pia. Ualimu upo poa kama mtu ataacha kunung'unika na kuchukua hatua kwanza nikiwaangalia wana muda wa kutosha kabisa kufanya mambo mengine pia siku hizi fursa za mikopo zipo hivyo mtu anaweza akawa na biashara yake sehemu hata kama ni ndogo lakini ana uhakika wa kuisimamia baada ya miaka mitano anaweza akawa sio mwinine tena, kuna mazingira watu huwa tunapiga pesa alafu wanafaidi wengine maana kwa jinsi unavyokuwa busy unakosa hata muda wa kusimamia issue zako mwisho wa siku unabaki na sifa "jamaa zungu anaacha hela za kufanya kazi anasepa hata mwezi"
 
Kama unafundisha vipindi vyako tu then unasepa kwenye mishe zako ubaya uko wapi? Usipende kuibaiba vinakostii

Na ndivyo ilivyo sikuhizi,huniweki shule mpaka jioni mie,hata kama ni TOD,Ualimu raha sn,wanafunzi sikuhizi wanatupa tu tena wao wenyewe wanataka.
Me nimewafaidi sn na naendelea,ila nahakikisha hapati madhara yoyote pia anafaulu.Huwezi kuwafanya wake zako wafeli bwana, au sio walimu wenzangu?
 
Jiulize kwanini Nyerere aliacha ualimu akakimbilia siasa? MAGUFULI JE? LOWASSA NAE JE? MAGRETH SITTA,MACHALI,MAJALIWA,KAWAMBWA,MHAGAMA? Ukijua kwanini waliacha fani zao wakakimbilia mjengoni utajua pia sababu za ualimu kudharaulika.
 
binafsi sioni tatizo lolote sababu hata wakuu wa siku hizi sio conservatives kwa hiyo nafasi ya kufanya mishughuliko mingine ni kubwa sana kama ukiwa MTU wa hivyo shida ni inferiority complex inayosababisha myopic perception ya kila kitu miongoni mwa waalimu wengi sana....
 
Jiulize kwanini Nyerere aliacha ualimu akakimbilia siasa? MAGUFULI JE? LOWASSA NAE JE? MAGRETH SITTA,MACHALI,MAJALIWA,KAWAMBWA,MHAGAMA? Ukijua kwanini waliacha fani zao wakakimbilia mjengoni utajua pia sababu za ualimu kudharaulika.

kwani ni nani haswa wa kustahili kukaa mjengoni. afadhali walio na professional zao kuliko wale.....
 
Na ndivyo ilivyo sikuhizi,huniweki shule mpaka jioni mie,hata kama ni TOD,Ualimu raha sn,wanafunzi sikuhizi wanatupa tu tena wao wenyewe wanataka.
Me nimewafaidi sn na naendelea,ila nahakikisha hapati madhara yoyote pia anafaulu.Huwezi kuwafanya wake zako wafeli bwana, au sio walimu wenzangu?

kijana hauna maadili ya ualimu ww piga chini ualimu
 
Na ndivyo ilivyo sikuhizi,huniweki shule mpaka jioni mie,hata kama ni TOD,Ualimu raha sn,wanafunzi sikuhizi wanatupa tu tena wao wenyewe wanataka.
Me nimewafaidi sn na naendelea,ila nahakikisha hapati madhara yoyote pia anafaulu.Huwezi kuwafanya wake zako wafeli bwana, au sio walimu wenzangu?

Maadili mabovu haya. Unaanzia wapi kumtongoza mwanafunzi wako?!.
 
Kazi ya ualimu ni kazi nzuri kama zingine. Tatizo serikali imeifanya ionekane ni mbaya kwa sababu ya mfumo unaofrustrate walimu na wanafunzi wote. Hivyo inakuwa kama ni kanda ya frustrations. Pale serikali itakapobadilisha vigezo vya selection, training na treatment, za walimu na wanafunzi, utaona taswira ya ualimu itapanda. Kwa sasa inaonekana si nzuri kutokana na mfumo wa serikali.
 
1hakuna maruputupu dhid ya mshahara
2hatakama huna kipindi inabidi uende shule
3mitaala inabadilishwa hupew semna
4mabos wengi mno
5jamii kwa sasa inadharau walimu
6mazingira mabovu ya kufanyia kazi
7kupanda madaraja ni ishu
 
Uzuri au ubaya wa kazi ya ualimu hutegemea na Mazingira ya kufanyia kazi au kituo ulichopo,kuna mazingira maji hufuatwa takriban km 3 tena yana chumvi dispensary iko km 20 alafu n ukame wa kufa mtu mwl/mkuu mwenyewe utakuta kauzu hatak hata upoteze dakika!
 
Back
Top Bottom