Ubaya wa kazi ya ualimu ni upi?

Kazi sio mbaya tatzi unalipwa nn? And nobody cares wa nasahau mwlm ndo kila kitu. ..ukiwa mwalimu utapata maisha ya kawaida sana ukiendelea kwa ajili ya kazi unatumia nguvu nyingi sana. Binafsi sipendi kuwa mwalimu kwa sababu sipendelei kufundsha kila siku kurudia kitu hicho hcho. Ts gud but not in Tanzania
 
Pia ukiwa tcha unabadilika ingawaje sio wote unaanza kuwa mkuda kichz Hahahaaaaa
 
Someni history of education, mtajua ni kwa nini.
 

Unawalala wanafunzi wako?🙊
 
Watu wengi hawapendi kazi ya ualimu mimi binafi huwa sioni ubaya wa kazi hii labda wadau mnaionaje kazi ya ualimu na ubaya wake ni upi?

kazi ni kazi ila maslah ndo shushu,..mpaka hapo mi sinaga hamu kabsa ngoja nikomae tu na fani yangu
 

Anaogopewa MUNGU tu mkubwa, ukiwafuata wakuu utakufa maskini, mm ni mwalimu na sikubali KUPELEKEWA hata kidogo, ila kuna watu ni waoga balaa wakiambiwa kesho wote mje hao kama manyumbu, kwa kweli ukiwa unajielewa huku ndio pa kutokea ila ukibug utajuta kuzaliwa, walimu tubadilike tusikubali kuburuzwa jamani
 
Tatizo ualimu kinachoboa ni ile kula bagia na chai daily hadi unahisi kufa...lol
 
ubaya wa kazi y ualim ni kutongozwa na wanafunzi
 
1hakuna maruputupu dhid ya mshahara
2hatakama huna kipindi inabidi uende shule
3mitaala inabadilishwa hupew semna
4mabos wengi mno
5jamii kwa sasa inadharau walimu
6mazingira mabovu ya kufanyia kazi
7kupanda madaraja ni ishu
Hapa kuna kaukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…