Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaenda ofisini kwao na passport size, leseni, kadi ya gari ikiwezena gari lenyewe uende nalo.Niutaratibu gani inapaswa ufuatwe ili kumiliki akaunti Taxi ya mtandao?
Unaenda ofisini kwao na passport size, leseni, kadi ya gari ikiwezena gari lenyewe uende nalo.
Hilo linawezekana mkuuKwasasa kuna Taxi mtandao nyingi je unaweza kujiunga na akaunti zote kwenye simu moja.?
Unaenda uber unapewa barua kisha unaenda wizara ya mambo ya ndani kupiga finger print hlf unarudi uber kujisajiliNiutaratibu gani inapaswa ufuatwe ili kumiliki akaunti Taxi ya mtandao?