nenda kaombe za udereva unaweza ukabahatika ndugu yanguNashukuru kwa msaada wako mkuu
Nilisha wahi kufanya kazi kwenye kampuni kwa mda flani hivi nikapata matatizo ya kifamilia then nilivo rudi kazini nikawa sina kazi tena.
Package ?kama bado hujapata....na ikiwa upo teyari kufanya kazi ya udereva kwenye kampuni ya ulinzi
nenda Gardaworld pale mikocheni b....{kwamwinyi} hiyo kampuni inahitaji madereva wenye elimu kuanzia darasa la 7 na kuendelea
cha kufanya ni kuzifuata ofisi zao zilipo ukiwa umeambatana na leseni yako halali...cheti cha shule halali...na namba yako ya nida bila kusahau cheti chako cha kuzaliwa
Hawa madereva wa kukutana mtandaoni mtihani sana wengi wezikama bado hujapata....na ikiwa upo teyari kufanya kazi ya udereva kwenye kampuni ya ulinzi
nenda Gardaworld pale mikocheni b....{kwamwinyi} hiyo kampuni inahitaji madereva wenye elimu kuanzia darasa la 7 na kuendelea
cha kufanya ni kuzifuata ofisi zao zilipo ukiwa umeambatana na leseni yako halali...cheti cha shule halali...na namba yako ya nida bila kusahau cheti chako cha kuzaliwa
Samahani kiongozi, Pia pole kama umewahi kufanyiwa kitu kibaya kutoka kwa madereva,Hawa madereva wa kukutana mtandaoni mtihani sana wengi wezi
Mm npo dar mkuuAnahitajika dereva wa mkataba jijini Arusha
Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603www.jamiiforums.com
Mkuu km bado haujapata mtu... Ilete tufanye kazi kwa malipo na sio freeMimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya
Uber/bolt
Gari ndogo.
Hesabu au mkataba vyote sawa
Kwa yeyote Alie nayo
Napatikana Temeke
Mawasiliano: 0717285828
Mkuu dar umepigiliwa misumari hautoki?Mm npo dar mkuu