Uber driver natafuta gari

Uber driver natafuta gari

Nkoka

Member
Joined
Feb 24, 2022
Posts
13
Reaction score
9
Mimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya

Uber/bolt
Gari ndogo.

Hesabu au mkataba vyote sawa
Kwa yeyote Alie nayo
Napatikana Temeke
Mawasiliano: 0717285828
 
Kama bado hujapata na ikiwa upo teyari kufanya kazi ya udereva kwenye kampuni ya ulinzi nenda Gardaworld pale mikocheni b {kwamwinyi} hiyo kampuni inahitaji madereva wenye elimu kuanzia darasa la 7 na kuendelea.

Cha kufanya ni kuzifuata ofisi zao zilipo ukiwa umeambatana na leseni yako halali, cheti cha shule halali na namba yako ya nida bila kusahau cheti chako cha kuzaliwa
 
Nashukuru kwa msaada wako mkuu
Nilisha wahi kufanya kazi kwenye kampuni kwa mda flani hivi nikapata matatizo ya kifamilia then nilivo rudi kazini nikawa sina kazi tena.
nenda kaombe za udereva unaweza ukabahatika ndugu yangu
 
kama bado hujapata....na ikiwa upo teyari kufanya kazi ya udereva kwenye kampuni ya ulinzi
nenda Gardaworld pale mikocheni b....{kwamwinyi} hiyo kampuni inahitaji madereva wenye elimu kuanzia darasa la 7 na kuendelea
cha kufanya ni kuzifuata ofisi zao zilipo ukiwa umeambatana na leseni yako halali...cheti cha shule halali...na namba yako ya nida bila kusahau cheti chako cha kuzaliwa
Package ?
Huenda itamsaidia kufanya maamuzi
 
kama bado hujapata....na ikiwa upo teyari kufanya kazi ya udereva kwenye kampuni ya ulinzi
nenda Gardaworld pale mikocheni b....{kwamwinyi} hiyo kampuni inahitaji madereva wenye elimu kuanzia darasa la 7 na kuendelea
cha kufanya ni kuzifuata ofisi zao zilipo ukiwa umeambatana na leseni yako halali...cheti cha shule halali...na namba yako ya nida bila kusahau cheti chako cha kuzaliwa
Hawa madereva wa kukutana mtandaoni mtihani sana wengi wezi
 
Hawa madereva wa kukutana mtandaoni mtihani sana wengi wezi
Samahani kiongozi, Pia pole kama umewahi kufanyiwa kitu kibaya kutoka kwa madereva,
Nafkiri binadamu hatupo sawa kwaio lazma tutofautiane kitabia ,
Unaposema madereva ni wezi unatuhukumu na sisi wengine ambao hatumo katka kundi hilo ,
Samahani kama nimekosea mkuu
 
Mimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya

Uber/bolt
Gari ndogo.

Hesabu au mkataba vyote sawa
Kwa yeyote Alie nayo
Napatikana Temeke
Mawasiliano: 0717285828
Mkuu km bado haujapata mtu... Ilete tufanye kazi kwa malipo na sio free
 
Back
Top Bottom