The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Majuzi juzi hapa nilisikia uber wamefunga biashara Tanzania kutokana na sheria kandamizi, za kutaka wachukue 20% ya mapato ya dereva na wao wanataka 25% kama sijakosea.
Jana Uber wamenitumia meseji kwa kuniapa offer za safari za mjini kwa discount kubwa tu.
Swali langu, je uber wamerudi Tanzania kimia kimia ama ile taarifa ilikua ya uongo?
Kama wamerudi wamerudi kwa sheria ipi, ile ya zamani waliokua wanawanyonya madereva ama hii mpya?
Anyway, kama wamerudi basi ni vyema, mimi uber kwangu ni favorite app kutokana na huduma zao, walipofunga nilisikitika sana ila kama wamerudi pia ni vyema.