Uber wametusaidia sana sisi wasanii

Uber wametusaidia sana sisi wasanii

Whozuu acha fujo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Billnass Billnass..... Wewe ni Billnass unasumbua Sana Twitter mjinga wewe
 
Kwa kusoma koments Bilnas kapata kura nyingi
 
Hivi naweza pata contacts za wamiliki wa taxify au Uber
Ilikuwa shida sana kutoka sehemu yoyote ile mpaka utafute sehemu zilipo bajaji kisha upande ndio uanze safari.

Ule umbali wa kuzitafuta bajaji unakuta watu wanakushangaa au ukifika stand unaanza kuomba bajaji akupunguzie bei wakati wao wanajua una hela kumbe huna lolote.

Uber & Taxify zimetuondolea sana aibu wasanii kipindi tukifulia.
 
Halafu nyie wasanii hao madreva wa Uber wanawamaindi sana maana mnajidai mabaloz wa uber hamlipi nauli (hivyo dereva wa Uber haambulii kitu)
 
Back
Top Bottom