Uber yasitisha huduma zake Tanzania, yazitaja nauli elekezi Latra kama sababu. Itarejea kanuni zikibadilishwa

Sio shamba la bibi hili ila naona na bibi mwenyewe alirogwa maana wanakula hata wasio wajukuu zake

Hivi kuna binadamu walikaa kabisa na kutunga sheria kuwa muwekezaji ale 5 bila kodi
Maskini ya Mungu nchi yangu
Je pamoja na sheria mbovu hii wawekezaji wangapi wamewekeza na kuendelea ? 10,000 ama
 
Ni sheria ya mataifa mengi ila kabla hujafikia pa kusema umepata hasara tayari wanakuwa wameshahakiki hesabu zako hivyo huna pa kutokea.. Hapa kinachotuponza ni uzalendo na 10%
 
Ninayemuonea huruma ni mtanganyika kwa hali zote kuanzia huduma muhimu za jamii mpaka future yake kama mwananchi.. Mimi wewe yule na sisi sote tunaoendelea kupigwa na vitu vizito kwa ghiliba za watawala na mapebari kupitia chama chawala
 
Hili suala serikali iingilie kati wanegotiate win-win situation

Piga picha madereva wangapi wanakosa kazi
Na abiria wangapi watasota

Bolt ipoje jmn sijawahi jaribu
 
Ni sheria ya mataifa mengi ila kabla hujafikia pa kusema umepata hasara tayari wanakuwa wameshahakiki hesabu zako hivyo huna pa kutokea.. Hapa kinachotuponza ni uzalendo na 10%

Ooh sasa ndio nimeelewa
Makanjanja wengi na hili hata ulete sheria zipi maana huyo huyo atakaetunga sheria ataikanyaga tu Mkuu
Dini yenyewe imekuwa ngumu kwa wengi itakuwa sheria za muafrika

Tamaa hizi
 
Mtajuana wenyewe huko haituhusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…