Ubia wa mgodi morogoro

Ubia wa mgodi morogoro

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
434
Serious case............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama kuna mtu anafanya kazi ktk makampuni ya uchimbaji wa MADINI au anayafahamu yalipo hayo

makampuni,,tuwasiliane kuna plot yenye madini so tunataka tuongee biashara ikiwezekana tuingie ubia tupige kazi..

That iz serious,,,if ur not concern.get far.

0712 85 66 82
 
Duh umewasiliana na waziri mulugho?
Serious case............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama kuna mtu anafanya kazi ktk makampuni ya uchimbaji wa MADINI au anayafahamu yalipo hayo

makampuni,,tuwasiliane kuna plot yenye madini so tunataka tuongee biashara ikiwezekana tuingie ubia tupige kazi..

That iz serious,,,if ur not concern.get far.

0712 85 66 82
 
Kaka ni madini gan yaliyopo hlo eneo lako?Mana mimi pia nina site maeneo ya mwalazi matombo kuna ruby ya mwamba na mpaka leo nahaha kusaka wadau wa kuingia nao ubia.
 
mkuu fanya geological survey kisha document findings za kujua kuna madini ya aina gani na kiasi gani,then tuwasiliane
Serious case............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama kuna mtu anafanya kazi ktk makampuni ya uchimbaji wa MADINI au anayafahamu yalipo hayo

makampuni,,tuwasiliane kuna plot yenye madini so tunataka tuongee biashara ikiwezekana tuingie ubia tupige kazi..

That iz serious,,,if ur not concern.get far.

0712 85 66 82
 
huko huko kaka Morogoro..........ruby na dhahabu

oke ukipata mdau niunganishie tuwe pamoja kaka na 2taenda sawa mpaka kwenye mikataba.Utanicheki kwa 0717465686.Natanguliza shukuran kaka
 
Una leseni ya hilo eneo ya uchimbaji?maana kuna kumiliki eneo na kumiliki leseni ya uchimbaji ya eneo
 
Back
Top Bottom