Ubinadamu ni kusaidiana,naomba usaidizi wako hapa,

Ubinadamu ni kusaidiana,naomba usaidizi wako hapa,

Vannesa

Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
49
Reaction score
5
Kuna rafiki yangu hajachaguliwa kwenda 4m5 ila anataka kusoma ualimu katika chuo chochote cha private kilichopo morogoro,dar,dom au kilimanjaro chenye gharama nafuu.hivyo basi kwa anaejua chuo kinachotoa certificate katika maeneo hayo nakuomba unijulishe
#ni hayo tu
 
kwa dodoma kuna chuo kinaitwa CAPITAL kipo dodoma mjini
 
Aende singida kuna vyuo vingi, anatafuta asiwe selective atapoanza kazi ndo achague pa kwenda, maisha popote.
 
Kuna rafiki yangu hajachaguliwa kwenda 4m5 ila anataka kusoma ualimu katika chuo chochote cha private kilichopo morogoro,dar,dom au kilimanjaro chenye gharama nafuu.hivyo basi kwa anaejua chuo kinachotoa certificate katika maeneo hayo nakuomba unijulishe
#ni hayo tu

kama ni masomo ya sayansi tuma maombi wizaran mwisho ni tar 10 july piti web ya wizara ya elimu/tamisemi kwa maelezo zaidi
 
Baada ya kuwepo kwa sitokujua nyingi kwa baadhi ya wazazi na wanafunzi juu ya wale waliokosa nafasi za kujiunga na mafunzo ya kidato cha tano serikali imeamua kuwaita kwa kutumia njia hii ...
Ualimu+Advanced level.
Bofya hapo kujua zaid.TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO[/QUOTE]
nimeiona
 
Back
Top Bottom